Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,441
- 8,408
Kwanini hamtaki kuambiwa ukweli ndugu? Usikasirike. Najua ukweli huwa unauma. Uungwana ni kukubali kukosolewa, kukiri mapungufu na kuwa tayari kujirekebisha.Gentleman,
huyu mzee alivyokosa maadili utadhani ndio amebalehe na kuvunja ungo majuzi tu. Amekua jasiri wa kuropoka kama vile anasoma form2c🐒
Sahihi Mkuu!Vile vile huwezi kuzuia mafuriko kwa mikono
Anajiona Bora, badala ya kujenga hoja au kuzijibu,anahemka!Acha matusi kwa watu wazima jielekeze kwenye hoja yake Mkuu! kwani ugumu uko wapi kuweka tume inayodaiwa!
Sasa wewe hayo ndio maadili kumtusi mzee kama huyo kua ndo anavunja ungo??Gentleman,
huyu mzee alivyokosa maadili utadhani ndio amebalehe na kuvunja ungo majuzi tu. Amekua jasiri wa kuropoka kama vile anasoma form2c🐒
Huenda anajua au hajui!tlaahtlaah sijui ameotea wapi ajira afu binadamu kama hawa ndio Chanzo kimoja cha kuchelewa Maendeleo
HuendaHuenda anajua au hajui!
Huenda anajua ila anajifamya hajui au hajui anajua aina hioHuenda anajua au hajui!
Mnatumika kwa vijisenti tutakufua tu hatuuzwi no way backChawa wa Samia unaota ndoto mchana huu! Mama yako Samia anauza nchi kwa waarabu halafu unachekelea kama zuzu! Usituambukize utaahira wako, hatudanganyiki!
Chadema is a compromised identity.
maadili Gani unataka,kumpa lisu KESI ya maadili ni utakatifuuuGentleman,
huyu mzee alivyokosa maadili utadhani ndio amebalehe na kuvunja ungo majuzi tu. Amekua jasiri wa kuropoka kama vile anasoma form2c🐒
Jamani mjibuni msimtukane sababu ya umri wake! wengine hata huo umri hamtafika na uzee ni heshima! mbona tunakosa adabu namna hiyo! inasikitisha sana, wewe hauna Baba au Babu nae unamuona kazee ka hovyo? Ni bahati mbaya sana kuna ukosefu wa adabu wa hali ya juu! Apingwe kwa hoja siyo matusi. Mitizamo ya mambo siyo ugomvi! matusi yanaonesha kiwango uelewa mdogo ulionao.sasa kazee kama hako gentleman ni kwamba kanakukoshaaaa graduate, right?🤣
Mbona vijana mnajidharirisha kias hiki...!si tu karopokaji bali pia kapotoshaji hako kazee gentleman 🐒
mmezoea kukolimba wazee!haka kazee kawe kakwanza, halafu mzee slaa na mpiga vizinga mkuu mzee lwaitama wafuate mara moja maana vina midomo chafu na havina maadili kabisa 🐒
Hawana hoja ndio wamekimbilia kona hiyo. Unajua ni ajira yao kupindisha upepo wa mambo. Sasa mzee kashusha ukweli kwa mfano yakinifu, hawana jinsi.Jamani mjibuni msimtukane sababu ya umri wake! wengine hata huo umri hamtafika na uzee ni heshima! mbona tunakosa adabu namna hiyo! inasikitisha sana, wewe hauna Baba au Babu nae unamuona kazee ka hovyo? Ni bahati mbaya sana kuna ukosefu wa adabu wa hali ya juu! Apingwe kwa hoja siyo matusi. Mitizamo ya mambo siyo ugomvi! matusi yanaonesha kiwango uelewa mdogo ulionao.
Hivi kati ya Wasira na Generali nani Mzee zaidi?sasa kazee kama hako gentleman ni kwamba kanakukoshaaaa graduate, right?🤣
Huu ni ukweli mtupuPia Amesema viongozi wa Serikali hawana haya na wanaishia kutenda vitu vya aibu kwa kukiuka sheria za nchi!View attachment 3305095
Chadema hakuna kitu kwa hesabu ya leo.Chadema ni biashara kubwa iliwa.....You are compromises person! If fact you are sold out! Kwisha habari yako!