Ni Jambo jema lililoongelewa na mbunge lakini pia waangalie na viwango vya Kodi navyo viangaliwe viwe rafiki vinavyasababisha mlipa Kodi kutafuta ofisi ya tra.badala ya Kodi kutafuta na mitutu ya bunduki
 
Angeliongelea bungeni tena kwa kupeleka muswaada binafsi....kuliongelea uraiani ni alama zile zile za kinafiki tu, kama kuongea tu hata sisi uraiani tunaliongelea sana...
 
Na mafao yenu mkichukua na miaka 55 itapendeza zaidi

ili muwe na nguvu ya kusema hilohilo kwa wananchi
 
huyu ataitwa na kamat ya Bunge.. pale ccm hakuna wabunge wapo kwa ajili ya matumbo yao
 
Mishahara yao ni ya kawaida 3.8M, ikikatwa kodi hawatahisi maumivu, pesa ipo kwenye posho zinazopelekea mbunge kulipwa 11M huko ndiko walikochepushia kodi nyingi ambayo ikikatwa ingewauma.
 
kasemaje kuhusu bara bara ya Mombasa -Moshi bar? yaani ina mashimo utadhani tupo mtwara huko kwa kina hamonaiiz kumbe tupo dsm .. kheee
 
Kumbe tulikuwa tunawakilishwa na majizi!!!

Tufanye movement ya kutowarudisha bungeni wabunge wote waliokaa kimya juu ya jambo hili, kwamaneno mengine tutafute wabunge wapya watakaokwenda kulisemea hili bungeni, tunahitaji watu aina ya huyu jamaa
 
Mishahara yao ni ya kawaida 3.8M, ikikatwa kodi hawatahisi maumivu, pesa ipo kwenye posho zinazopelekea mbunge kulipwa 11M huko ndiko walikochepushia kodi nyingi ambayo ikikatwa ingewauma.
Walipwe kama watumishi wengine wa serikali wanavyofanyiwa, hizo allowance maficho ndizo zinazotuumiza wengine
 
Talimba aliongea akaja kukanusha, hala hala huyu nae asijekanusha siku za usoni..
 
Wataomba waongezewe mshahara ndio waanze kukatwa
Tunataka mishahara yao ipangwe na waajiri wao ambao ni wananchi, wasijipangiw wao, mtumishi wa serikali anapangiwa mshahara na mwajiri, nao kadhalika wawe hivyo
 
Watunga sheria wenye akili ndogo ni hatari sana kwa taifa. Nchi inavurugwa vurugwa hatuna misingi tunayosimamia bali wazo la aliye ikulu... Kodi bora niile inayotozwa kwenye kipato/faida kubwa sasa kutumiana pesa nikipato au huduma?? Tunawalipa zaidi ya mil 11 bila ridhaa yetu alafu hawataki kulipa kodi?? Majinga na manafiki makubwa
 

Ukitaka kula lazima uliwe... Jakaya Kikwete
 
marufukumikusanyiko kkumbe ililenga chadema2.
 
Mpaka Sasa sijajua kwanini haya majizi hayalipi Kodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…