Jerry Slaa akagua daraja la Bilioni 17 jimboni kwake

Wana Ukonga hakikisheni hamumpotezi mbunge mzalendo kwerikweri
 
Mbona naona kama lilipaswa kutumia bil 3-3.5, au chini zaidi na si zaidi ya hapo, ofisi ya CAG, Ilipitie kupima value for money hapa.
 
Hadi sasa Thread 3_Machawa 0
Kudadeq kuna muda chawa unatetea hadi mate yanakauka

Ona kama hapo sijui Mwashamba atateteaje mradi.
 
Jerry afanye arudishe chenji bhana, mie fundi mchundo ila hili daraja halifiki 2B
 
Yani billioni huwa inadhalilishwa sana na sekta za ujenzi.
Ukiletewa nyumba ya billioni unakuta inamakolokolo kibao utapenda, kule kwingine hata karavati yu unaweza kuambiwa ni tsh trillioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…