Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 1,885
- 4,131
Haiwezekani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana Ukonga hakikisheni hamumpotezi mbunge mzalendo kwerikweriMbunge wa Ukonga akagua daraja lililojengwa kwa Bilioni 17.6 katika kata ya Ulongoni B huko Gongolamboto.
Daraja hilo litakuwa na mchango mkubwa kwa wananchi wa Ulongoni katika gurudumu la maendeleo.
Hakika wananchi wa jimbo la Ukonga wamepata Mbunge mchapakazi na mzalendo anayefanya miradi ya maendeleo kwa bei nafuu.
View attachment 2786231
Mie nipeni bandari ya DarHii nchi imefika mahali tugawane kila kitu sasa
HahahahaSheikh ukinisahau unahama mji huu🤣🤣
Mbona naona kama lilipaswa kutumia bil 3-3.5, au chini zaidi na si zaidi ya hapo, ofisi ya CAG, Ilipitie kupima value for money hapa.Mbunge wa Ukonga akagua daraja lililojengwa kwa Bilioni 17.6 katika kata ya Ulongoni B huko Gongolamboto.
Daraja hilo litakuwa na mchango mkubwa kwa wananchi wa Ulongoni katika gurudumu la maendeleo.
Hakika wananchi wa jimbo la Ukonga wamepata Mbunge mchapakazi na mzalendo anayefanya miradi ya maendeleo kwa bei nafuu.
View attachment 2786231
Hata chawa kama wewe hukubaliani na thamani ya daraja la mwanaccm mwenzio ?!Nimeangalia kule kwenye account yake,hii habari imeondolewa 😂😂😂😂
Nikiwaoneaha Daraja la Bil.1.2 mtasikotika kwanza ni kubwa na refunkuliko hili
ni stori ndefu.. juu ya ubora lakiniHebu tueleweshe
Ova