Jerry Slaa akagua daraja la Bilioni 17 jimboni kwake

Jerry Slaa akagua daraja la Bilioni 17 jimboni kwake

Mbunge wa Ukonga akagua daraja lililojengwa kwa Bilioni 17.6 katika kata ya Ulongoni B huko Gongolamboto.

Daraja hilo litakuwa na mchango mkubwa kwa wananchi wa Ulongoni katika gurudumu la maendeleo.

Hakika wananchi wa jimbo la Ukonga wamepata Mbunge mchapakazi na mzalendo anayefanya miradi ya maendeleo kwa bei nafuu.

View attachment 2786231
Wana Ukonga hakikisheni hamumpotezi mbunge mzalendo kwerikweri
 
Mbunge wa Ukonga akagua daraja lililojengwa kwa Bilioni 17.6 katika kata ya Ulongoni B huko Gongolamboto.

Daraja hilo litakuwa na mchango mkubwa kwa wananchi wa Ulongoni katika gurudumu la maendeleo.

Hakika wananchi wa jimbo la Ukonga wamepata Mbunge mchapakazi na mzalendo anayefanya miradi ya maendeleo kwa bei nafuu.

View attachment 2786231
Mbona naona kama lilipaswa kutumia bil 3-3.5, au chini zaidi na si zaidi ya hapo, ofisi ya CAG, Ilipitie kupima value for money hapa.
 
Hadi sasa Thread 3_Machawa 0
Kudadeq kuna muda chawa unatetea hadi mate yanakauka

Ona kama hapo sijui Mwashamba atateteaje mradi.
 
Jerry afanye arudishe chenji bhana, mie fundi mchundo ila hili daraja halifiki 2B
 
Yani billioni huwa inadhalilishwa sana na sekta za ujenzi.
Ukiletewa nyumba ya billioni unakuta inamakolokolo kibao utapenda, kule kwingine hata karavati yu unaweza kuambiwa ni tsh trillioni
 
Back
Top Bottom