Jerusalem: Sababu tatu za kuzuka kwa ghasia kati ya Wapalestina na Wayahudi

Wapalestina ndio wapo,wakristo na waislamu,kwa vile mkisikia mpalestina ni mwarabu,mwajua ni Muislamu tu.Hao wayahud,hata Yesu,hawamtambui,wanamuita mtoto wa nje ya ndoa.
 
Wakristo wengi,wa huku Tanzania,wakisikia wapalestina,kwa vile ni waraabu wanajuwa wote ni waislamu,wapalestina wapo waislamu na wapo wakristo.Hao waisrael,hawamtambui hata Yesu,wanamuita mtoto wa nje ya ndoa,walivyokuwa hawana akili.
 
Pumbavu nimekaa na Wayahudi ( Waisrael ) na kamwe hawatuchukii Sisi Waafrika kama ambavyo Waafrika wenyewe kwa wenyewe tunachukiana kila Uchao tu.
Hujakaa na wayahudi wewe,Hawa mpaka Yesu,wanamuita mtoto wa nje ya ndoa.
 
Wao Israel pia wanatandikwa sawa sawa,mauaji na majeruhi ni kote kote,tumia akili.
 
Nyerere hakuwa muislamu na alipinga udhalimu wa hao wauaji hadi kuvunja uhusiano nao. Nchi nyingi za Ulaya AKA BEBERUS hazina waislamu lakini kwa asilimia kubwa zinapinga udhalimu wa Israel dhidi ya Wapalestina.
 
tuambizane hiviii katika hizi pigapiga kati ya ISRAEL na PALESTIN mbona huwa nasikia kila mara wapalestin 100.. 200.. 300.. wamekufa kwenye hiyo piga nikupige.. mbona sijawahi sikia inatangazwa na vyombo vya habari MUISRAEL kafa japo wawili au watatu tu
 
Je hao waisrael walikua wapi??
Hawakuwa na mahali pa kuishi mpaka wapewe eneo la wenzao ama walikua wanaishi pamoja ndio wakatenganishwa??

Kuna mdau hapo juu kasema israel hawakua na ardhi bali walitapakaa tu duniani. Sasa je kabla ya kutapakaa asili yao ilikua wapi??.
Na kwenye hiyo asili hawakubaki hata waisrael kadhaa kulinda asili yao.??

Na hao wapelestina walihamia hapo miaka hiyo BC wakitokea wapi??
 
Wapalestina ndio wapo,wakristo na waislamu,kwa vile mkisikia mpalestina ni mwarabu,mwajua ni Muislamu tu.Hao wayahud,hata Yesu,hawamtambui,wanamuita mtoto wa nje ya ndoa.
Niliwahi kufundisha lugha Wamarekani alikuwepo Myahudi mmoja anaishi Marekani alitueleza jinsi Wayahudi wasivyomtambua Yesu kama mwokozi wao, nilishangaa sana sana. Anasema masiya wao (Wayahudi) hajarudi, 'wao' sio wa wengine.
 
Hao wayahudi walikuwa kwenye mji wao Jerusalem ya mashariki ambao ulikuwa umezungukwa na ukuta mkubwa.(Old Jerusalem).Kifupi huo mji ulijengwa zaidi ya miaka 3500 iliyopita ambapo mwaka 1000BC mfalme wa wayahudi wakati huu Mfalme Daudi aliutwaa na kuufanya mji mkuu wa wayahudi,Mrithi wake mwanae Solomon aliendeleza himaya yao mpaka pale Wababeli walipouvamia na kuutwa Miaka ya 500Bc na kuwaondosha wayahudi lakini baada ya kama miaka 50 dola ya kiajemi ikautwaa mji huo na kuwarudisha wayahudi kwenye makazi yao.Kama nilivyoeleza hapo awali zikafuatia tawala nyingine zilizoitawala Jerusalem lakini hazikuondoa kizazi cha wayahudi,hivyo makazi yao yalibaki Jerusalem.Hivyo wao wanaamini Jerusalem ndio mji wao na ndipo alipozikwa Mfalme wao Daudi.
Kuhusu hao wapalestina walihamia kutokea wapi?.Jibu ni kwamba wao walikuwa na makazi yao pembezoni mwa bahari ya Mediterranean na wengine magharibi mwa mto Jordani,hivyo historia inaonesha wao walihamia Jerusalem.Nadhani nimejibu hoja yako mkuu.
 
Yaah nimekupata mkuu. Na je wamechangamana kwenye hiyo nchi moja au wametenganishwa kimajimbo??
 
Na zaidi eneo tata ni huo upande wa GAZA ambako Hammas wanatake control, ukienda upande wa west Bank ambako hakuna Hammas hizi kelele hazipo.
 
Ulikusudia kuandika nini Mkuu?
 
Unaposema hawana kwao unamaanisha nini?.
Jews kama walivyo wajaluo, wasukama wangoni etc wote wana kwao kwa asili, shida ni pale unapoowaongea wayaudi as if walishuka/dondoka kutoka juu wakajikuta wapo dunia, kitu ambacho si kweli.

Jews kwao ni hapo middle east, kusema hawana kwao ni kuvunja ithibati za kiakili.. Qur'an na Bibilia zinawatambua kuwa ni mwenyeji hapo.
 
Unaweza jiita wewe ni haki, hiyo haina maana kuwa we ni Mtenda haki.
Matendo ndo um-define mtu sio jina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…