Jeshi la Afrika Kusini pamoja na FARDC limefanikiwa kuwadhibiti M23 kuelekea GOMA

Mkuu hao ni wanajeshi kamili sio watoto ni Rwandiz na Yuganda kazi kubwa imefanyika jana!!!
 
Kwan walishafika tayar huko?
Mapema jana usiku BM zimeunguruma bila kusimama kama masaa 7 baada ya hapo ni viliko tu huko mpaka Kigali .Mbwa na mbweha wanajipatia mlo wa kutosha.Hawa wanyama wanastahili walicho kipata unyama wanaowafanyia wanawake na wasichan wadogo ni wakutisha

Mwambieni aje abebe mizoga apeleke kwakre ...Congo itabaki kuwa salama muda wote na akirudia Masase mpaka chumbani kwake!!!
 
Raia wa nchi Gani wanawashangilia m23
 
Watoto wadogo gani wanamiliki Ant Aircraft missiles.
 
Mkuu nini kinashindikana elimination ya hawa M23?

Naomba elimu tafadhari
 
Raia wa wapi hao mkuu?

Maana huko Congo ni mara nyingi tu tunaletewa taarifa humu kuwa hao wapuuzi wameua raia, tena kikatili sana!
 
Una habari UN inaondoa watu wake na kufunga ofisi? Kwa kinachoitwa kwa muda!!! Fumbuka macho baba! Hiyo M23 unayoiongelea usishangae ikiwa Goma. Badhi wakiwa wazalendo, wengine wakiwa FARDC! Jipe mda. Burundi ipo wapi? Hivi, hiyo JWTZ unayoitaja unadhani wanakulupuka? Wangapi umesikia wameuliwa? Ni kwamba hawapo?
Hiyo sio vita ya Alshabaab mzee. Kila vita inalenga masrahi. Tanzania inapata nini labda!!!
 
UN majizi tu wao concentration yao ni Madini tu hawana impact yoyote haswa kulinda raia

Jeshi la SADC limeingia mzigonin ndo maana uvamizi wa Goma umesambaratwisha

WaTanzania wengi wapo Congo wanafany biashara na TRA inafaidika na kodi zO hivyo Congo kwanza
 
Uko sahihii kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…