njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Ni tactical retreat hawajaondoka kwa kupigwa wameondoka kujipanga upya lakini angalia hizi sura ni za wapiVip vita imefikia wapi saizi m23 wanaendelea kuelekea goma au wanarudi nyuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni tactical retreat hawajaondoka kwa kupigwa wameondoka kujipanga upya lakini angalia hizi sura ni za wapiVip vita imefikia wapi saizi m23 wanaendelea kuelekea goma au wanarudi nyuma
🇨🇩#RDC: Jeshi la Afrika Kusini linatangaza kwamba limefaulu, pamoja na FARDC na washirika, kusimamisha maendeleo ya muungano wa M23/RDF kuelekea Goma:
"Vikosi vya maadui vya M23 vilikuwa vimezindua shambulio kubwa kwa askari wetu ili kumtia Goma, lakini hawakuweza kuendeleza shukrani kwa upinzani wa kishujaa wa wapiganaji wetu mashujaa."
Vikosi vyetu havikusimamisha maendeleo ya M23 tu, lakini pia viliweza kuwarudisha. nia ya M23, pamoja na mambo mengine, ilikuwa kuudhibiti mji wa Goma, lakini walipata upinzani mkali kutoka kwa kikosi cha Afrika Kusini kilichowazuia kufika Goma. "
COMMUNICATED ⤵️
View attachment 3214162
HapanaUna picha ya jenerali mwakibolwa?
M23 wanamjua vizuriHapana
Ninayo ya mwakipesile
Ndio sema komenti za raia wa SA ndio zinachanganya kuna mtu kauliza wanajeshi wa SA wanaenda kufanya nini kwenye taifa ambalo ni huru?Mwingine akasema wameenda kulinda migodi inayo milikiwa na ANC.Vitani, maisha hupotea.
Ongezea nyama mkuuNdio sema komenti za raia wa SA ndio zinachanganya kuna mtu kauliza wanajeshi wa SA wanaenda kufanya nini kwenye taifa ambalo ni huru?Mwingine akasema wameenda kulinda migodi inayo milikiwa na ANC.
Sema yote,ulinzi wa amani kwenye mataifa yenye machafuko ni kazi ya hatari sana.Kuna jamaa yangu aliwahi kutumwa Sudan alisema hii kazi ngumu hajapata kuona pale mkipigwa ambush
M23 wanatumika kuficha wizi na machimbo ya dhahabu unaoendelea miakaVita ni biashara na uchumi kwa mataifa mengine. Lakini hao M23 kwanini hawadhibitiki, au huo ndio uwanja wa majaribio ya silaha zao?
DRC itakuwa kama Israel na palestina, Sioni ni namna gani watapata suluhu ya kudumu.
Kuhusu ulinzi wa amani kwenye mataifa yenye machafuko au namna raia wa SA walivyochafukwa baada ya watu wao kufinywa na M23Ongezea nyama mkuu
Wameshapewa salamu zao na leo wameanza kulia huko EAC ...sisi na SADC kazi ni moja tu KUSAFISHA
ULITEGEMEA KATIKA VITA WATAKUFA UPANDE MMOJA TU. HIVI HUKO SHULE MLIENDA KUSOMEA UJINGA???!!!Wasisahau kutoa taarifa pia wanajeshi tisa wa SA hatunao tena duniani kwenye hili tukio
Hapa shule imeingia vipi kiongozi au nlichoandika hujaelewaULITEGEMEA KATIKA VITA WATAKUFA UPANDE MMOJA TU. HIVI HUKO SHULE MLIENDA KUSOMEA UJINGA???!!!
vijana wa GEN Z hawajui mambo haya ya DW,unafanya kazi ya kuswitch to BBC DW🤗🤗🤗. HUKU MIMI NDO NILIANZIA KUJIFUNZA GEOPOLOTICS!!!Nilipokuwa mdogo kila siku jioni kwenye BBC na DW lazima usikie CNDD-FDD wakitwangana.
wewe umeandika usichokielewa,Hapa shule imeingia vipi kiongozi au nlichoandika hujaelewa
Goma ndio ipo karibu na mpaka na Rwanda plus uwanja wa ndege and mto Kivu hii ndio best exit route na kuna soko kubwa sana eneo hili,kwenda Uganda ni karibu pia.Afadhali,hapo na Tz &Malawi wakiongeza nguvu watawatuliza jamaa kusonga mbele.
dawa ni kupiga mpaka Rwanda na Uganda.Ukifiatilia deeply JWTZ hawajawahi kufanyaa maajabu huko, bora hata Wakenya walipokuwepo kuliko hawa wetu.
Lakini wale wahuni huwa wakidhibitiwa wanarudi kwenye drawing board wanajipanga upya na mkizubaa kidogo wanashambulia tena, kitimtim kule hakitakuja kuisha. Kumeshakuwa sawa na Gaza.
Sawa kiongozi nimesema hivi katika taarifa zao wasisahau kuwapa watu taarifa za vifo vya wajeshi wa SA.Kwamba nlisema wajeshi hawafi?wewe umeandika usichokielewa,