Jeshi la Afrika Kusini pamoja na FARDC limefanikiwa kuwadhibiti M23 kuelekea GOMA

Ni tactical retreat hawajaondoka kwa kupigwa wameondoka kujipanga upya lakini angalia hizi sura ni za wapi
View attachment 3214599
Mnawapa SIFA hao wajinga ila hawana maajabu. Tshekedi aweke MATRANKA YA DHAHABU YA KUTOSHA HAPO MAGOGONI.TZ IDEPLOY JESHI LA KUTOSHA NA KUANZISHA KAMBI HATA NNE HAPO GOMA NA KIVU KUSINI.
 
vijana wa GEN Z hawajui mambo haya ya DW,unafanya kazi ya kuswitch to BBC DW🤗🤗🤗. HUKU MIMI NDO NILIANZIA KUJIFUNZA GEOPOLOTICS!!!
Ile jioni wakati mnarudisha ng'ombe nyumbani mnamkuta dingi na mwalimu mnoko uliyemkwepa shuleni wanasikiliza Dira ya dunia kupitia redio mkulima huku wakipata chai... hiyo chai majani mengi halafu sukari kwa mbali. Hata wakikukaribisha ni kama adhabu kuinywa. Kifuatacho ni fimbo za kutosha toka kwa mwalimu featuring baba.
 
Nnawapa SIFA hao wajinga ila hawana maajabu. Tshekedi aweke MATRANKA YA DHAHABU YA KUTOSHA HAPO MAGOGONI.TZ IDEPLOY JESHI LA KUTOSHA NA KUANZISHA KAMBI HATA NNE HAPO GOMA NA KIVU KUSINI.
Dah wewe unaongea kwa jazba pasipo kuangalia hali halisi, usiwadharau m23 wanaowajua wanawajua tu, Tz kama Tz yenyewe haiwezi kuwamaliza hao kabisa ,
M23 inaijua jografia ya Congo nje ndani kwa mantiki hiyo jw ni lazima iwe chini ya majeshi wenyeji ambao ni Fardc sivyo? Lakini Fardc nao unawajua fika tabia zao?
Wakati huo huo m23 akiwa na uzoefu wa mapigano katika maeneo hayo unafikiri nini kitatokea?

Haya lakini tunasema haya kwa kuyajua pande zote.
 
KWAHIYO NYIE HAMUWEZI KUPIGANA KISA HAMUIJUI GEOGRAPHICAL LOCATION YA ENEO.BWANA MDOGO WEKA HOJA ACHA KUTOA SABABU ZA KITOTO.

MSOUTH KAVUKA NCHI NGAPI KAJA KUJIPIMIA MISULI JESHI LAKE HUKO MISITUNI.

KWA AFRICA BADO VITA VINGI NI VYA KUPIGANIA MSITUNI SO NCHI INAYOTAKA KUWA SUPERIOR KIJESHI INAHITAJIKA KUWA NA UZOEFU WA GUERILLA WARS!!!

NA NDIO MAANA YA KUWEKA MATRANKA YA DHAHABU WATU WANUNUE VIFAA ,WANAJESHI WALIPWE PESA WAINGIE MZIGONI.

📌📌 KAZI YA JESHI SIO KUVUNJA TOFALI BALI KUPIGANA!!!

HAUWEZI MKAWA MNAJISIFU MNAJESHI WAKATI KAZI KUBWA NI KWENDA KULINDA AMANI.UNAJUA WALE PEACEKEEPERS HUWA HAWARUSHI RISASI KABISA😁😁😁.

JESHI NI KUINGIA MZIGONI NA HUKO HUKO NDO MNAJIFUNZA LIVE NA KUGUNDUA UDHAIFU NA UIMARA WA SILAHA ZENU NA JESHI LENU KIUJUMLA.

MFANO US HUWA ANAINGIA FIELD ANAPIGANA NA KUWEKA KAMBI KABISA ILA ANAPIGANA KWA MASLAHI.NA HIVYO BADGET YAKE HUWA IKO IMARA.

HII YA KUPIGANA BILA MASLAHI NA KUPIGANA KUFUKUZA WAASI HAINA AFYA WAINGIE KABISA WAKAE HATA MIAKA 15 KWA MALIPO YA DHAHABU TUWAPE ULINZI HIYO EASTERN CONGO📌
 
Watu wa Goma wame suffer sana,this time no more killings.
 
Attachments

  • 20250126_124435.jpg
    20250126_124435.jpg
    158.2 KB · Views: 5
  • 20250126_121815.jpg
    20250126_121815.jpg
    108.2 KB · Views: 3
  • 20250126_121809.jpg
    20250126_121809.jpg
    140.7 KB · Views: 3
Ni kana kwamba upo upande wa hao mende au wewe unaelwaje ulichoandika.
Lakini ukichunguza kwa umakini Sana utagundua kwamba Mgogoro huo kiuhalisia unahusiana na masuala ya Mazingira ya kutokuwepo kwa HAKI na usawa kwa jamii fulani za Watu huko Congo DR (Zaire).Serikali ya huko Congo DR kwa kiasi fulani imekuwa ikituhumiwa kuwabagua na kuwatenga watu fulani fulani hivi kwenye Taifa hilo hususani Watu wa kutoka katika Jamii zinazoishi pembezoni au mipakani mwa nchi hiyo.
Hali hii kwa kiasi kikubwa ndio imekuwa kichocheo kikubwa Sana Cha kuibuka kwa matukio ya Uasi ya Mara kwa mara ndani ya Majeshi ya nchi hiyo.
Aidha, hata baadhi ya Wananchi wengi waliopo kwenye maeneo hayo nao kwa chinichini wamekuwa wakiwaunga mkono Wapinzani wa Utawala wa nchi hiyo (Waasi). Hata aliyekuwa mmoja wa Viongozi wa juu kabisa katika nchi hiyo, yaani aliyekuwa Mkuu wa Tume ya Uchaguzi ya Congo DR aliasi Serikali ya huko na kujiunga na Vikosi vya Wapiganaji vya Waasi wa huko.
 
Haya mawe yamekuwaje kuhusiana na suala la maiti za hawa Watu?
Je, hawa Watu waliuawa kwa kupigwa mawe? Au hayo mawe yamekusanywa na kuwekwa kandokando ya hizo maiti baada ya hao Watu kuuawa na Wapiganaji Vita? Sijaelewa bado jambo hili.
Wameuwawa kisa wanaongea kinyarwanda,eti watusi,eti sio wa congoman. Yani mbere watoto na serikali inaona tu.
By the way Goma Air space ya uwanja wa ndege imefunguwa. Watu wa Goma wanakimbilia Rwanda kwa sasa.
 
Attachments

  • 20250126_124756.jpg
    20250126_124756.jpg
    148.9 KB · Views: 3
  • 20250126_124800.jpg
    20250126_124800.jpg
    157.2 KB · Views: 2
  • 20250126_124435.jpg
    20250126_124435.jpg
    158.2 KB · Views: 4
  • 20250126_124753.jpg
    20250126_124753.jpg
    175.3 KB · Views: 3
Lakini ukichunguza kwa umakini Sana utagundua kwamba Mgogoro huo kiuhalisia unahusiana na masuala ya Mazingira ya kutokuwepo kwa HAKI na usawa kwa jamii fulani za Watu huko Congo DR (Zaire).Serikali ya huko Congo DR kwa kiasi fulani imekuwa ikituhumiwa kuwabagua na kuwatenga watu fulani fulani hivi kwenye Taifa hilo hususani Watu wa kutoka katika Jamii zinazoishi pembezoni au mipakani mwa nchi hiyo.
Hali hii kwa kiasi kikubwa ndio imekuwa kichocheo kikubwa Sana Cha kuibuka kwa matukio ya Uasi ya Mara kwa mara ndani ya Majeshi ya nchi hiyo.
Aidha, hata baadhi ya Wananchi wengi waliopo kwenye maeneo hayo nao kwa chinichini wamekuwa wakiwaunga mkono Wapinzani wa Utawala wa nchi hiyo (Waasi). Hata aliyekuwa mmoja wa Viongozi wa juu kabisa katika nchi hiyo, yaani aliyekuwa Mkuu wa Tume ya Uchaguzi ya Congo DR aliasi Serikali ya huko na kujiunga na Vikosi vya Wapiganaji vya Waasi wa huko.
waCONGO wanajulikana hao watu wako fulanifulani warudi makwao rwanda na uganda waache kuleta vurugu DRC.
 
Hapana jinsi varangati linavokuwa huko porini wakivamiwa
Dah usiombe man.Jamaa alisema ile ambush(hii ambush walipigwa wakiwa kwenye base yao)ni kwamba wale wahuni walikuwa na shida ya chakula na dhana za kivita tu(bunduki na ambavyo mtakuwa navyo)

Ilibidi wakubali tu kwa maana ukileta wenge pale nyote mnapatiwa majina mapya nakurudishwa kwenu mkiwa kwenye masanduku.

Jamaa waliweka mikono juu mwendo wa mateka.Wahuni wakebeba vyao na ndio ilikuwa pona yao.

Ni kazi risk sana maana sijui kama utaratibu umebadilika sasa,kwani kipindi kile ulikuwa unaweza kuwa bunduki lakini matumizi yake yako limited.
 
🇨🇩#RDC: Jeshi la Afrika Kusini linatangaza kwamba limefaulu, pamoja na FARDC na washirika, kusimamisha maendeleo ya muungano wa M23/RDF kuelekea Goma:

"Vikosi vya maadui vya M23 vilikuwa vimezindua shambulio kubwa kwa askari wetu ili kumtia Goma, lakini hawakuweza kuendeleza shukrani kwa upinzani wa kishujaa wa wapiganaji wetu mashujaa."

Vikosi vyetu havikusimamisha maendeleo ya M23 tu, lakini pia viliweza kuwarudisha. nia ya M23, pamoja na mambo mengine, ilikuwa kuudhibiti mji wa Goma, lakini walipata upinzani mkali kutoka kwa kikosi cha Afrika Kusini kilichowazuia kufika Goma. "

COMMUNICATED ⤵️

View attachment 3214162
"The process of informing families of the deceased members is current underway"
 
Dah usiombe man.Jamaa alisema ile ambush(hii ambush walipigwa wakiwa kwenye base yao)ni kwamba wale wahuni walikuwa na shida ya chakula na dhana za kivita tu(bunduki na ambavyo mtakuwa navyo)

Ilibidi wakubali tu kwa maana ukileta wenge pale nyote mnapatiwa majina mapya nakurudishwa kwenu mkiwa kwenye masanduku.

Jamaa waliweka mikono juu mwendo wa mateka.Wahuni wakebeba vyao na ndio ilikuwa pona yao.

Ni kazi risk sana maana sijui kama utaratibu umebadilika sasa,kwani kipindi kile ulikuwa unaweza kuwa bunduki lakini matumizi yake yako limited.
Bado Sheria ile toka Umoja wa Mataifa haijabadilishwa ili upigane yakupasa upigwe kwanza
 
Ndio sema komenti za raia wa SA ndio zinachanganya kuna mtu kauliza wanajeshi wa SA wanaenda kufanya nini kwenye taifa ambalo ni huru?Mwingine akasema wameenda kulinda migodi inayo milikiwa na ANC.

Sema yote,ulinzi wa amani kwenye mataifa yenye machafuko ni kazi ya hatari sana.Kuna jamaa yangu aliwahi kutumwa Sudan alisema hii kazi ngumu hajapata kuona pale mkipigwa ambush
Naam ukishasema kuna vita, vifo si ajabu. The South African you mentionedhave to know it.
 
KWAHIYO NYIE HAMUWEZI KUPIGANA KISA HAMUIJUI GEOGRAPHICAL LOCATION YA ENEO.BWANA MDOGO WEKA HOJA ACHA KUTOA SABABU ZA KITOTO.

MSOUTH KAVUKA NCHI NGAPI KAJA KUJIPIMIA MISULI JESHI LAKE HUKO MISITUNI.

KWA AFRICA BADO VITA VINGI NI VYA KUPIGANIA MSITUNI SO NCHI INAYOTAKA KUWA SUPERIOR KIJESHI INAHITAJIKA KUWA NA UZOEFU WA GUERILLA WARS!!!

NA NDIO MAANA YA KUWEKA MATRANKA YA DHAHABU WATU WANUNUE VIFAA ,WANAJESHI WALIPWE PESA WAINGIE MZIGONI.

📌📌 KAZI YA JESHI SIO KUVUNJA TOFALI BALI KUPIGANA!!!

HAUWEZI MKAWA MNAJISIFU MNAJESHI WAKATI KAZI KUBWA NI KWENDA KULINDA AMANI.UNAJUA WALE PEACEKEEPERS HUWA HAWARUSHI RISASI KABISA😁😁😁.

JESHI NI KUINGIA MZIGONI NA HUKO HUKO NDO MNAJIFUNZA LIVE NA KUGUNDUA UDHAIFU NA UIMARA WA SILAHA ZENU NA JESHI LENU KIUJUMLA.

MFANO US HUWA ANAINGIA FIELD ANAPIGANA NA KUWEKA KAMBI KABISA ILA ANAPIGANA KWA MASLAHI.NA HIVYO BADGET YAKE HUWA IKO IMARA.

HII YA KUPIGANA BILA MASLAHI NA KUPIGANA KUFUKUZA WAASI HAINA AFYA WAINGIE KABISA WAKAE HATA MIAKA 15 KWA MALIPO YA DHAHABU TUWAPE ULINZI HIYO EASTERN CONGO📌
Well said Mkuu bado tuna jeshi ambalo linaamini kwenye kutumia nguvu kubwa badala ya akili kubwa hasa katika ulimwengu huu wa science and technology sioni haja ya peacekeepers kwenda na kusubiri kupigwa it will takes forever kumaliza migogoro hiyo unless dhahabu ile imalizike
 
Back
Top Bottom