Jeshi la Afrika Kusini pamoja na FARDC limefanikiwa kuwadhibiti M23 kuelekea GOMA

Jeshi la Afrika Kusini pamoja na FARDC limefanikiwa kuwadhibiti M23 kuelekea GOMA

13 peacekeepers so far wameaga dunia from Zim SA na Malawi
Ndiyo, ni vita people dies in wars wajuwe kifa kupo vitani. Haijalishi wewe ni mkongo, mzimbbwe, mtanzania, mnyarwanda,...... you have to know ukienda vitani, chances za kids ni kubwa sana........ Kufa ni sahamu ya vita.
 
Hao M23 wanachofanya ni kutibua hali ya hewa na kutulia/pasikalike kama huko kwingine wameteka kote, inaonekana hata hiyo Goma kama wangedhamiria nayo wangeichukua TU
vijana wamerudi chimbo zao baada ya kujidhihirisha kuwa wapo!

Kuna clip niliona M23 wanarudi kutoka vitani raia wanawashangilia kwa kazi safi 😁
Raia huwa wanashangilia tu. Siku hao M23 wakipigwa watashangilia sana tu.
 
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeamua kuwarejesha nyumbani Wanadiplomasia wake waliotumwa Kigali nchini Rwanda.

Aidha, Serikali pia iliitaka Rwanda kusitisha ndani ya saa 48 shughuli zote za Kidiplomasia na kibalozi zinazofanywa na Ubalozi wa Jamhuri ya Rwanda mjini Kinshasa.

Kumbuka kuwa uamuzi huu unakuja baada ya kusonga mbele kwa Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda, kuelekea mji wa Goma na kifo kilichotangazwa na FARDC cha Gavana wa Kijeshi wa Jimbo la Kivu Kaskazini, Meja Jenerali Peter Chrimimwani.

Hata hivyo, Waziri Therese Kayikwamba Wagner alidokeza kuwa uamuzi huu si uvunjaji moja kwa moja wa kidiplomasia na Rwanda bali ni njia ya kupaza sauti na kwamba hawawezi kuendelea kucheza na adui.

#KitengeUpdates
 
Uongo mtupu,UN na SADC waambiwa kujitenga wakigoma watacgaowa vibaya,na Jeshi la DRC waliopo Goma la pewa 48hrs kuweka Siraha chini,wakigoma watapigwa kinoma.
Ebu muulize dege kubwa kutoka South Africa lililoleta msaada limeishia wapi?! Wanajitekenya tu na kucheka.
 
M 23 wanamiliki mikoa mingapi huko DRC? Mbona kila siku wanaibuka na kutulizwa. Kuna mtu mmoja aliwahi kuandika humu kwamba ni vitoto vidogo na vina dhibitika hata na FFU wetu, sijui kwanini nchi hiyo yenye msaada wa kijeshi kutoka nchi kadhaa bado wanashindwa kuwamaliza M23.
Sio kama uliyoandika.....hao M23 ni jeshi kamili kutoka nchi jirani lilioivamia Drc hata ripoti za UN zimethibitisha hilo na kuitaja hiyo nchi.

 
Mimi ni Mtanzania lkn alieandika naamini sio Mtanzania,kama sio Mtanzania basi kajitahidi.
Pengine anafahamu Kifaransa na kilingala kwa ufasaha,je akiandika lugha hizo wewe utamwelewa?
Na ndio maana nakuambia lugha imeandikwa sivyo.

Kama mwenye lugha napenda iandikwe kwa usahihi,wengine wasiojua watafikiri namna ilivyoandikwa ndio inatakiwa iwe hivyo.

Hivyo siwezi kufumbia macho uharibifu kisa mwandishi sio mtanzania.

Kuliko kuharibu lugha ya watu ni bora aandike kwa lugha yake anayoimudu vyema.
 
Back
Top Bottom