imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Kilio kimeanza huko Tshwane kuwa Wananchi wanataka Jeshi lao liondolewe huko DRC.Wamefika 13
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilio kimeanza huko Tshwane kuwa Wananchi wanataka Jeshi lao liondolewe huko DRC.Wamefika 13
Ndiyo, ni vita people dies in wars wajuwe kifa kupo vitani. Haijalishi wewe ni mkongo, mzimbbwe, mtanzania, mnyarwanda,...... you have to know ukienda vitani, chances za kids ni kubwa sana........ Kufa ni sahamu ya vita.13 peacekeepers so far wameaga dunia from Zim SA na Malawi
Hao M 23 et- al hawafi?. In war people dies.Kilio kimeanza huko Tshwane kuwa Wananchi wanataka Jeshi lao liondolewe huko DRC.
Raia huwa wanashangilia tu. Siku hao M23 wakipigwa watashangilia sana tu.Hao M23 wanachofanya ni kutibua hali ya hewa na kutulia/pasikalike kama huko kwingine wameteka kote, inaonekana hata hiyo Goma kama wangedhamiria nayo wangeichukua TU
vijana wamerudi chimbo zao baada ya kujidhihirisha kuwa wapo!
Kuna clip niliona M23 wanarudi kutoka vitani raia wanawashangilia kwa kazi safi 😁
Wanafia Ardhi yao wanafia uwepo wao kama Waafrika.Hao M 23 et- al hawafi?. In war people dies.
Naam ni sahihi kuifia. Nnchi yao inatambulika kwa jina gani?Wanafia Ardhi yao wanafia uwepo wao kama Waafrika.
KivuNaam ni sahihi kuifia. Nnchi yao inatambulika kwa jina gani?
Ongeza wa 3 wa Malawi na 1 wa UrguayWamefanya hivyo katika taarifa yao.
Ebu muulize dege kubwa kutoka South Africa lililoleta msaada limeishia wapi?! Wanajitekenya tu na kucheka.Uongo mtupu,UN na SADC waambiwa kujitenga wakigoma watacgaowa vibaya,na Jeshi la DRC waliopo Goma la pewa 48hrs kuweka Siraha chini,wakigoma watapigwa kinoma.
Siyo ardhi yao hiyo,acha uwongo na akili zako za kiyahudi kokoWanafia Ardhi yao wanafia uwepo wao kama Waafrika.
Umenikumbusha mbali. Si en dede ef dede . Nikawa nashindwa kuelewa hizo herufi zinavyotamkwa. Na mwandishi Hamide Issa. Sema niliacha kusikiliza BBC nilivyoona kila siku wananitangazia habari za ushogaNilipokuwa mdogo kila siku jioni kwenye BBC na DW lazima usikie CNDD-FDD wakitwangana.
Pia alikuwepo Oumilkheir wa DW- KiswahiliUmenikumbusha mbali. Si en dede ef dede . Nikawa nashindwa kuelewa hizo herufi zinavyotamkwa. Na mwandishi Hamide Issa. Sema niliacha kusikiliza BBC nilivyoona kila siku wananitangazia habari za ushoga
Sio kama uliyoandika.....hao M23 ni jeshi kamili kutoka nchi jirani lilioivamia Drc hata ripoti za UN zimethibitisha hilo na kuitaja hiyo nchi.M 23 wanamiliki mikoa mingapi huko DRC? Mbona kila siku wanaibuka na kutulizwa. Kuna mtu mmoja aliwahi kuandika humu kwamba ni vitoto vidogo na vina dhibitika hata na FFU wetu, sijui kwanini nchi hiyo yenye msaada wa kijeshi kutoka nchi kadhaa bado wanashindwa kuwamaliza M23.
Kosa lake liko wapi Sasa?angeandika kilingala au kofaransa ungeelewa?Kiswahili kibovu kabisa
Kama ni mtanzania na haujaona makosa ya kisarufi katika huo uandishi nakuhurumia mno.Kosa lake liko wapi Sasa?angeandika kilingala au kofaransa ungeelewa?
Unaweka picha bila maelezo sio Kila mtu anajua kilichotokea.weka maelezo kidogo kwa pichaWatu wa Goma wame suffer sana,this time no more killings.
Mimi ni Mtanzania lkn alieandika naamini sio Mtanzania,kama sio Mtanzania basi kajitahidi.Kama ni mtanzania na haujaona makosa ya kisarufi katika huo uandishi nakuhurumia mno.
Na ndio maana nakuambia lugha imeandikwa sivyo.Mimi ni Mtanzania lkn alieandika naamini sio Mtanzania,kama sio Mtanzania basi kajitahidi.
Pengine anafahamu Kifaransa na kilingala kwa ufasaha,je akiandika lugha hizo wewe utamwelewa?