Jeshi la Afrika Kusini pamoja na FARDC limefanikiwa kuwadhibiti M23 kuelekea GOMA

KIVU ITAJITENGA LABDA MADINI YAKIISHA!!!
 
Muungano wa Congo River Alliance sasa unapanga kwenda Bukavu Lubumbashi na Kinshasa.
 
Sasa zinaangukia toka wapi!?
Ungeijua Jiografia ya eneo husika ungenielewa, hizo morter shelling zinatoka ndani ya goma kwenye mapigano ya M23 na Jeshi la Kongo + so called "Wazalendo" ambao ni group lililochanganya Interahamwe na FLDR na anti Tutsi Millitias.
Sasa kujua bomu limerushwa na nani kwenda wapi ni vigumu sana kujua kwasababu Goma na Gisenyi ni kama mji mmoja tu.

Mimi nimekaa Miji hiyo yote miwili miaka ya 90.
 
Hao UN ndio uwa wanachelewesha,kama UN washatoa go ahead tutegemee hii vita kuwa kubwa
 
Hao UN ndio uwa wanachelewesha,kama UN washatoa go ahead tutegemee hii vita kuwa kubwa
Kuna siri nzito mkuu. UN yenyewe walionya hii vita huenda ikawa ya ukanda. Na kuna viashilia tena DRC inaenda kuwa uwanja wa wapiganaji. Hilo linaonekana, lipo wazi. Mmoja ameanza kuongeza majeshi DRC, na wanaopelekewa poli kwao ni nyumbani, unategemea kinaenda kutokea nini!? Kuta vitu vya chini chini vinaendelea, na mpaka vinaisha, mbabe atajulikana tu. Je, umeangalia siraha na magari alojiokotea M23 huko Goma!? Unadhani yanaenda kuchomwa moto!?
 
Siku zote zisianguke huko na walikua wakipigana,zianguke leo tu hadi tuone tulio vikindu mkuranga!?
 
M 23 ni jeshi kabisa linajitosheleza(japo kinaripotiwa2 kama kikundi cha kigaidi).Watoto nadhani ni sehemu pia katika jeshi⅖ lao(Sehemu kubwa ni watu wazima).M23 nadhani michezo yao mingi wanafanyia Goma,Kivu,Bukavu,na kinshasa kama sijakosea
Amends mchomo kweli kinshasa tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…