Jeshi la Iran wameonya US baada ya kupokea vifaa vya mapambano vya majini zaidi ya 100

Sasa unapinga nini halafu unakubali nini ?!

Kama walikua hosting katika ile kambi si ndio maana wakanyooshwa MKUU.....
 
Russia hana akili maandazi kama Iran, Russia au USA hawajawahi kutishiana kupigana maana wanajuana watahangaisha dunia.
Iran ambao walipigana na Iraq miaka 8 yote eti ndio wapigane na US?
US hajawa na sababu za kuipiga Iran, huyu Iran ndo unasema mchokozi unawajua wachokozi wewe?
Saddam kabla hajapigwa ashavamia Kuwait na kataka kuivamia Saudi Arabia, alisharusha makombora Israel yeye mwenyewe wala sio kuwapa waasi na bado alivumiliwa.
Alivyoota mapembe alipigwa kiwepesi, ndo uje ututishie na Iran. Iran hajavuka red line, katoa taarifa za kufyatua makombora ili asiue mtu.
 
Na ndo maana taarifa zilitolewa na Iran ili wanajeshi wa Iraq waondolewe, na wanajeshi wa US wawe salama. Walijulishwa kabla.
 
Nikuonee huruma sijui unaishi dunia ya wapi,na usiyempenda katika anga za kijeshi poteza muda ujifunze ili ujue uwezo wake,punguza pia mahaba ya kuridhi kwenye movie za akina Rambo,niishie kukueleza Iran ni next level.
Nasema hivi, acheni ngonjera. Si mtaje hizo silaha na capabilities zake? Huna hoja unaquote nini sasa. Nimeuliza Iran ataipiga mainland US kwa SILAHA zipi?
Nasubiri jibu ambalo najua hamna.
 
Hehehe

IRAN ipi ile ya mwaka 1980-1988 ambayo ilikua imetoka kufanya mapinduzi mwaka mmoja nyuma ndio unayo izungumzia wewe MKUU ama(Wacha utani MKUU kipindi kile IRAN ilikua haijulikani katika medani za kijeshi na ilikua ndio kwanza ina mzozo wakisiasa nchini mwake ambao ultoka kuyapelekea haya mapinduzi unayoyashuhudia sasa hv) pia usisahau vita hio IRAQ alipewa sapoti nawakubwa wote wamagharibi unaowajua wewe pia usisahau kama IRAQ walitumia mpaka silaha za SUMU waliambulia nini ?!

Haya hizo sababu ulizokua unazitaka wewe kwa IRAN dhidi ya US ili upate kujua kama ndio mstari mwekundu nizipi MKUU ?!

US alitangaza mwenyewe baada ya IRAN kuuliwa mwanajeshi wao wakasema kama watapiga kambi za US ulimsikia TURAMPET alijibu nini ?! ( vitisho vya kuzishambulia sehem kadhaa ndani ya IRAN unaina vilikua vyakawaida ila hatimae walifanya walidhubutu ? Huyo IRAQ unaemuongelea licha yauchokozi wake hakuwahi kukamata mwanajeshi wa US hakuwahi kupiga kambi ya US pia usisahau jamaa alikua mshirika wao mkubwa sana kabla hawajamgeuka kwamaana walikua wanayajua madhaifu yake A2Z maana hata hizo silaha nyingi walimpa wao pia

Nikukumbushe tu wakati IRAQ aliporusha Scud kule ISRAEL kulikua na vita baina ya IRAQ-KUWAIT pia kama IRAQ alikua mbabe kama unavyodai Wakati mwaka 1980 ISRAEL aliposhambulia Vinu vyake vya NYUKLIA huyo IRAQ alifanya nini ?!

ISRAEL athubutu kufanya ujinga wakushambulia vinu vya nyuklia vya IRAN kama alivyofanya IRAQ ndio utaona

Kama kupiga kambi zakijeshi bado unahisi sio mstari mwekundu kwako wewe mstari mwekundu unataka uwe vipi(mstari mwekundu naomba uuainishe tafadhali).
 
Nasema hivi, acheni ngonjera. Si mtaje hizo silaha na capabilities zake? Huna hoja unaquote nini sasa. Nimeuliza Iran ataipiga mainland US kwa SILAHA zipi?
Nasubiri jibu ambalo najua hamna.
US kama hajapata sababu yakuipiga IRAN hatakaa aipate tena

Watu walimteka mpaka balozi wake Mwaka nasiku kadhaa unasema hajavuka bado res line ?!

Unajua kama kuteka balozi wataifa fulani tayari tangazo la vita ?!

Jamaa alikamatwa akawekwa MBOCHI mpaka alipo amuliwa kutoka wakamtoa


msimamo wangu:-US anaweza akampiga IRAN ikitokea vimetokea VITA baina yao ila kipigo atakachokumbana nacho hajawahi kukumbana nacho toka aumbwe.
 
Baada ya kuwakamata wale wanamaji wa kimarekani, na wa Iran walivyo, sidhani kama wamewaacha salama. Watakuwa wamewafanyia mutaa
 
Na wale wanajeshi waliopata mtindio wa ubongo kutokana na shambulio hilo ni wa nchi gani?
 
Sasa unapinga nini halafu unakubali nini ?!

Kama walikua hosting katika ile kambi si ndio maana wakanyooshwa MKUU.....
Kama umeelewa vyema nilichosema usingeniuliza swali hilo.

Ni dhahiri na ni wazi kwamba hujanielewa ndiyo maana unarudia kitu kilekile.

Zaidi, ni vyema ukapata kufahamu matumizi sahihi ya maneno 'host' na 'hosting'.
 
Nadhani ile habari ya wanajeshi wa marekani kupigwa kichapo kwenye ile kambi ulijifungia kwenye jokofu maana hukutaka kuisikia
Wanajeshi gani hao waliopata huo "mtindio wa ubongo"?

Ni wa namna gani huo "mtindio wa ubongo"?

Hebu tujadili intellectually kuhusu huo "mtindio wa ubongo". Karibu!

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Kuteka balozi ndo silaha? Kwahiyo US akiwa anapiga Iran, Iran itakuwa inaenda nchi kadhaa kuteka mabalozi wa US. Iran hana silaha za kushambulia mbali, anazo za kuwa hangaisha majirani na kambi sa karibu. Umtoe Iran umpitishe bahari ya Atlantic kwa kutumia hiyo mitumbwi?

Sasa unaipigaje US wakati hata uwezo wa kufika kwake huna. Kuteka mabalozi hata nyinyi si mnaweza kumteka wa hapa Tanzania kama mmejipanga. Wa US in Libya aliuwawa, kipi cha ajabu kilifanyika?
Wa Russia nchini Turkey aliuwawa kipi cha ajabu kilitokea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…