Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Sasa unapinga nini halafu unakubali nini ?!Hizo "habari gani" ni kutoka vyanzo vipi?
Media zote kubwa tunazozifahamu ziliripoti kitu hiki ama kinachofanana na hiki; "Iraqi bases hosting/housing US troops".
Marekani hai-host kambi ya Al-Asad bali kambi ndiyo ina-host US troops ama US forces pamoja na majeshi ya mataifa mengine mpaka kufikia sasa.
Katika vyanzo mbalimbali utakutana na kitu hiki ama kinachofanana na hiki, narudia, "Iraqi bases hosting/housing US troops". Fuatilia!
Kama walikua hosting katika ile kambi si ndio maana wakanyooshwa MKUU.....