Yehova masna yake kwa lugha yao ni mungu ,yehova sio jina kama unavyodhaniaUsiwafananishe wayahudi na wasilamu koma kabisa wayahudi wanamuamini YEHOVA wasilamu sijui nani usipoteshe watoto
Nyie wakristo mungu wenu jina lake ni yesu
Waislamu tunaamini kwenye mungu mmoja
Na mungu kwa kiarabu ni allah, allah siyo jina kama unavyodhani
Ukienda nchi kama lebanon kanisani utadikia wanasema allah kumaanisha mungu
Elimikeni myie wafuasi wa kiboko ya wachawi