Jeshi la Israel lavunja rekodi, Raia 13 wamefariki kwa kila wanamgambo 10, Ratio iliyozoeleka 90 kwa 10, Ni wapumbavu wanaoamini kuna Genocide !

Kumbe masjid kuna bangi maanake hii si swala la umri bali inaonekana ni ushawishi wa vitu kama bangi.

Alikuambia roho mtakatifu wako ??

Nenda kawahi kabla farasi hawajaisha πŸ˜› πŸ˜›
 
Magaidi wa Hamas wanapouliwa hawatofautishwi na raia kwa maana hawana tofauti na hao raia kwani hata sare hawana.
Wala usijali wakimaliza Palestina nguvu yao itaendelea tena Congo, Sierra Leone na kwengineko, hata huko wapo kibao hawana uniform, wafe tu, na hata miaka 100 ijayo wakivamia na huku kwetu utakua role model mzuri wa wajukuu wako.
 
Watu wanaongea vya mana wewe unaleta somo la vidudu hapa.

Sa tofauti yake ni nini si ulisha fahamu au basi uonekane ulienda shule πŸ˜„
Pole sana Bibi yangu kipenzi, nisamehe mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana, sitarudia tena.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
hizo ratio ziweke akifa baba yako na mama yako hapo tutakuwa fair utakavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…