Jeshi la Israel lavunja rekodi, Raia 13 wamefariki kwa kila wanamgambo 10, Ratio iliyozoeleka 90 kwa 10, Ni wapumbavu wanaoamini kuna Genocide !

Jeshi la Israel lavunja rekodi, Raia 13 wamefariki kwa kila wanamgambo 10, Ratio iliyozoeleka 90 kwa 10, Ni wapumbavu wanaoamini kuna Genocide !

Kumbe masjid kuna bangi maanake hii si swala la umri bali inaonekana ni ushawishi wa vitu kama bangi.

Alikuambia roho mtakatifu wako ??

Nenda kawahi kabla farasi hawajaisha 😛 😛
 
Magaidi wa Hamas wanapouliwa hawatofautishwi na raia kwa maana hawana tofauti na hao raia kwani hata sare hawana.
Wala usijali wakimaliza Palestina nguvu yao itaendelea tena Congo, Sierra Leone na kwengineko, hata huko wapo kibao hawana uniform, wafe tu, na hata miaka 100 ijayo wakivamia na huku kwetu utakua role model mzuri wa wajukuu wako.
 
Watu wanaongea vya mana wewe unaleta somo la vidudu hapa.

Sa tofauti yake ni nini si ulisha fahamu au basi uonekane ulienda shule 😄
Pole sana Bibi yangu kipenzi, nisamehe mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana, sitarudia tena.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Vita inapotokea ratio ya wastani huwa ni raia 90 watafariki kwa kila mwanajeshi 10 wataouwawa vitani.

Israel imeshangaza ulimwengu wa vita kwa kuweza kuwa na ratio ndogo sana

Kufikia mwezi uliopita Wizara ya Afya ya Gaza imerekodi vifo elf 25 vilivyohakikishwa, Hamas wanasema kuna jumla ya vifo elf 32,600.

Israel ilikuwa imefanikiwa kuuwa wapambanaji wa Hamas elf 14 na kwa sasa kaongezeka mkuu wa Hamas kwenye mjumuiko huo.

Tuchukue tarakimu ya Hamas ili walau tuwe fair

Ni kwamba ukigawanya 32,600 kwa hamas elf 14 waliowawa kuna ratio ya 1.3 sawa na raia 13 kwa kila wanamgambo 10 wa hamas

View attachment 3069161
hizo ratio ziweke akifa baba yako na mama yako hapo tutakuwa fair utakavyo
 
Back
Top Bottom