Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Kumbe masjid kuna bangi maanake hii si swala la umri bali inaonekana ni ushawishi wa vitu kama bangi.
Alikuambia roho mtakatifu wako ??
Nenda kawahi kabla farasi hawajaisha 😛 😛
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe masjid kuna bangi maanake hii si swala la umri bali inaonekana ni ushawishi wa vitu kama bangi.
Roho mtakatifu inaingiaje hapo.Alikuambia roho mtakatifu wako ??
Nenda kawahi kabla farasi hawajaisha 😛 😛
Roho mtakatifu inaingiaje hapo.
Wala usijali wakimaliza Palestina nguvu yao itaendelea tena Congo, Sierra Leone na kwengineko, hata huko wapo kibao hawana uniform, wafe tu, na hata miaka 100 ijayo wakivamia na huku kwetu utakua role model mzuri wa wajukuu wako.Magaidi wa Hamas wanapouliwa hawatofautishwi na raia kwa maana hawana tofauti na hao raia kwani hata sare hawana.
Pole sana Bibi yangu kipenzi, nisamehe mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana, sitarudia tena.Watu wanaongea vya mana wewe unaleta somo la vidudu hapa.
Sa tofauti yake ni nini si ulisha fahamu au basi uonekane ulienda shule 😄
ubaya situmi makopo ya kanisani katafute wanao yatumia.Pole sana Bibi yangu kipenzi, nisamehe mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana, sitarudia tena.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
hizo ratio ziweke akifa baba yako na mama yako hapo tutakuwa fair utakavyoVita inapotokea ratio ya wastani huwa ni raia 90 watafariki kwa kila mwanajeshi 10 wataouwawa vitani.
Israel imeshangaza ulimwengu wa vita kwa kuweza kuwa na ratio ndogo sana
Kufikia mwezi uliopita Wizara ya Afya ya Gaza imerekodi vifo elf 25 vilivyohakikishwa, Hamas wanasema kuna jumla ya vifo elf 32,600.
Israel ilikuwa imefanikiwa kuuwa wapambanaji wa Hamas elf 14 na kwa sasa kaongezeka mkuu wa Hamas kwenye mjumuiko huo.
Tuchukue tarakimu ya Hamas ili walau tuwe fair
Ni kwamba ukigawanya 32,600 kwa hamas elf 14 waliowawa kuna ratio ya 1.3 sawa na raia 13 kwa kila wanamgambo 10 wa hamas
View attachment 3069161
Hatutumii imani hapo tunatumia realityUnless uwe kichaa ndio utamini hayo.
Qur'an ni elimu tosha kabisa we huwezi kutoa mfano mdogo wa Surah inaitwa Ina Atainak Al Kauthara.Hatutumii imani hapo tunatumia reality
Weka juzuu ulizohifadhi kando ndo utaelewa
Kumbe masjid kuna bangi maanake hii si swala la umri bali inaonekana ni ushawishi wa vitu kama bangi.