FisadiKuu JF-Expert Member Joined Nov 19, 2015 Posts 8,169 Reaction score 13,455 Sep 28, 2024 #221 gallow bird said: Hizbullah hawana rasilimali za kudungua ndege,na israel roho mkononi kwenda battle ground na hizbullah, strength ya hizbullah ni infantry Click to expand... Kwahiyo unanipangia nipigane vipi na adui yangu? Kama anajua ana weakness unazotaja kwanini awe mchokozi? Nilichogundua hata huyo Iran it’s a matter of time atabondwa na hakuna atakachofanya. Syria pia ingekuwa majivu kama sio Russia!!
gallow bird said: Hizbullah hawana rasilimali za kudungua ndege,na israel roho mkononi kwenda battle ground na hizbullah, strength ya hizbullah ni infantry Click to expand... Kwahiyo unanipangia nipigane vipi na adui yangu? Kama anajua ana weakness unazotaja kwanini awe mchokozi? Nilichogundua hata huyo Iran it’s a matter of time atabondwa na hakuna atakachofanya. Syria pia ingekuwa majivu kama sio Russia!!
gallow bird JF-Expert Member Joined Aug 10, 2024 Posts 3,915 Reaction score 6,272 Sep 28, 2024 #222 FisadiKuu said: Kwahiyo unanipangia nipigane vipi na adui yangu? Kama anajua ana weakness unazotaja kwanini awe mchokozi? Nilichogundua hata huyo Iran it’s a matter of time atabondwa na hakuna atakachofanya. Syria pia ingekuwa majivu kama sio Russia!! Click to expand... Syria ilibondwa na nani?
FisadiKuu said: Kwahiyo unanipangia nipigane vipi na adui yangu? Kama anajua ana weakness unazotaja kwanini awe mchokozi? Nilichogundua hata huyo Iran it’s a matter of time atabondwa na hakuna atakachofanya. Syria pia ingekuwa majivu kama sio Russia!! Click to expand... Syria ilibondwa na nani?
E Earthmover JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 24,977 Reaction score 23,799 Sep 28, 2024 #223 ....
E Earthmover JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 24,977 Reaction score 23,799 Sep 29, 2024 #224 Extension mission
Minja Ngalason JF-Expert Member Joined Jan 8, 2017 Posts 1,284 Reaction score 1,839 Sep 29, 2024 #225 Hezbollah imekuwa MASHALAAH 😝 😝 🤣
Tangawizi JF-Expert Member Joined Jun 25, 2009 Posts 6,696 Reaction score 6,734 Sep 29, 2024 #226 Rais wa Iran anajificha hataki kuonekana. Wayahudi wamejua kila step jamaa wanazopiga, na wana waadhibu kwa maumivu makali
Rais wa Iran anajificha hataki kuonekana. Wayahudi wamejua kila step jamaa wanazopiga, na wana waadhibu kwa maumivu makali