Jeshi la Israel Limelipua makao makuu ya Hezbollah Beirut wakati Netanyahu anaendelea kutoa speech umoja wa mataifa

Hizbullah hawana rasilimali za kudungua ndege,na israel roho mkononi kwenda battle ground na hizbullah, strength ya hizbullah ni infantry
Kwahiyo unanipangia nipigane vipi na adui yangu? Kama anajua ana weakness unazotaja kwanini awe mchokozi?

Nilichogundua hata huyo Iran it’s a matter of time atabondwa na hakuna atakachofanya. Syria pia ingekuwa majivu kama sio Russia!!
 
Syria ilibondwa na nani?
 
Rais wa Iran anajificha hataki kuonekana. Wayahudi wamejua kila step jamaa wanazopiga, na wana waadhibu kwa maumivu makali
 
Back
Top Bottom