Jeshi la Israel Limelipua makao makuu ya Hezbollah Beirut wakati Netanyahu anaendelea kutoa speech umoja wa mataifa

Jeshi la Israel Limelipua makao makuu ya Hezbollah Beirut wakati Netanyahu anaendelea kutoa speech umoja wa mataifa

Israel Hana ubavu wa kuipiga Iran atazionea tu vinchi vidogo vidogo Tena kwa msaada wa marekani
Nipo kwenye whatsapp group moja na Ayatollah, sijui nani ame screeshot na kumtumia hii comment yako, na yeye kaituma group na kuweka caption inasomeka; "Msiwasikilize watu wa aina hii, wanataka kutujaza ujinga halafu watuchuuze. Wasalamu waleko".
 
May all souls find enlightment,

Tusichoshane, baada ya viongozi waandamizi wote wa Hizbullah kuliwa vichwa, leo masaa 6 yaliyopita hatimae ilikua zamu ya kiongozi mkuu Nasrallah kupokea ticket yake kwenda kupewa mabikra 72.

Akiwa katika bunker mjini Beirut, majeshi ya Israel yameitifua bunker hiyo na kuacha majivu huku waliokuwemo ndani pamoja na Nasrallah wakipelekwa mji wa mabikra 72 kwa kushtukiwa.

View attachment 3109123

Aisee hivi kobazi ndio mliwategemea hezbollah wangewafutia Israel kweli bora hata hamas mgewategemea kidogo
 
Hivi hawa jamaa hawana jeshi au? Hivi hawana hata ndege au hata kifaru?Nchi gani inaonewa na Israel sana

Jeshi lao sijui lipo na linafanya nini

Ni nchi ambayo wakristo ndo wengi hata sheria za lebanon zinasema rais lazima awe mkristo na waziri mkuu awe muislam!

Maana Israel anaingia na kupiga atakavyo hawa watu sijui ninini shida
Jeshi ndiyo hilo Hezibula.
 
Kama ndugu zako magaidi hamasi walivyovizia octoba 7,hakika Israel ndiye mtoa roho ata aala analijua hilo.
 
Kama ndugu zako magaidi hamasi walivyovizia octoba 7,hakika Israel ndiye mtoa roho ata aala analijua hilo.
 
Israel Hana ubavu wa kuipiga Iran atazionea tu vinchi vidogo vidogo Tena kwa msaada wa marekani
Siku si nyingi utakuja hapahapa kusema Israel inapiga wanawake na watoto wa Iran, pale ambao majeshi ya Iran yatakuwa yanajificha kwenye makazi ya raia kujaribu kujikinga na dhahama ya Israel.
 
View: https://x.com/ImtiazMadmood/status/1839757366058766700?t=VT3DefzOsYl-Z6tEnz86XQ&s=19

Kwa mujibu wa taarifa za kijasusi za Marekani, kama kweli Hassan Nasrallah alikuwa ndani ya handaki, chini ya barabara zilizoharibiwa za Beirut, haiwezekani kwa yeye kupona. Huu sio uvumi, bali ni tathmini ya kina na makini kutoka kwa wataalamu wa ulimwengu wa ujasusi. Mabomu yaliyotumika na Israeli hayakutengenezwa kukosa shabaha au kuacha njia za kutoroka zikiwa salama—yalitengenezwa kuangamiza chochote kilichoko chini.

Kama Nasrallah alikuwa pale, basi amekufa. Ngome za chini ya ardhi ambazo Hezbollah inategemea zinaweza kuwa zimejengwa kwa kina, lakini hazishindikani. Mabomu haya hupenya tabaka za zege, chuma, na ardhi kwa kusudi moja: kuhakikisha kwamba hakuna kitu—hakuna mtambo, hakuna kiongozi, hakuna mpiganaji—atakayenusurika.

Ripoti zinadai kuwa kiongozi wa Hezbollah, Hassan Nasrallah, alijeruhiwa vibaya katika shambulio la anga la Israeli ambalo lilibomoa majengo sita katika kitongoji cha kusini mwa Beirut, Haret Hreik.

Nasrallah alikuwa akijificha kwenye handaki lililojengewa ulinzi, mita 30 chini ya ardhi, lakini ndege za kivita za Israeli zililenga eneo hilo kwa mabomu ya MK84 yaliyobomoa maficho baada ya kuthibitisha uwepo wake

Al jazeera wamekanusha yale majengo sio mkao makuu ya Hezbollah bali ni makazi ya watu wa kawaida.Hakuna anaejua zilipo ofisi za Hezbollah .
 
Wakiristo wa Jf kwa propaganda sijui wanasomea wapi? Kwa taarifa yenu uislam hamuwezi kabisa. Mapadri wengi na wachungaji wanasilimu nyinyi bakini na propaganda zenu. Mkifa mkachomwe vizuri
May all souls find enlightment,

Tusichoshane, baada ya viongozi waandamizi wote wa Hizbullah kuliwa vichwa, leo masaa 6 yaliyopita hatimae ilikua zamu ya kiongozi mkuu Nasrallah kupokea ticket yake kwenda kupewa mabikra 72.

Akiwa katika bunker mjini Beirut, majeshi ya Israel yameitifua bunker hiyo na kuacha majivu huku waliokuwemo ndani pamoja na Nasrallah wakipelekwa mji wa mabikra 72 kwa kushtukiwa.

View attachment 3109123

Afadhali hata Hamas walikaza kaza. Hawa Hizbollah ni bure kabisa, wanaondolewa kama mende
Kuna sumu fulani kama chaki; ukichorachora ukutani na sakafuni mida ya kwenda kulala asubuhi mnakuta mende wote ndani ya nyumba chali! Ni kufagia na kwenda kutupa tu! Ha ha ha!
 
Al jazeera wamekanusha yale majengo sio mkao makuu ya Hezbollah bali ni makazi ya watu wa kawaida.Hakuna anaejua zilipo ofisi za Hezbollah .
Ulitegemea Aljazeera waseme nini zaidi ya kukanusha? Kama Israel kamuua Ismail Haniya, Ibrahim Rais pamoja na intel yooote ya Iran, na ikisaidiwa na russia na north korea ndo ishindwe kujua makaa makuu ya hezbollah?
 
Back
Top Bottom