Jeshi la Israel Limelipua makao makuu ya Hezbollah Beirut wakati Netanyahu anaendelea kutoa speech umoja wa mataifa

Jeshi la Israel Limelipua makao makuu ya Hezbollah Beirut wakati Netanyahu anaendelea kutoa speech umoja wa mataifa

Duh kunajamaa yangu anakuambia bora usimuliwe hicho KISHINDO.....mengi media zinaficha hata hii hapo juu huioni kwenye vyombo vikubwa vya habari Duniani
Naiogopa sana Sayansi hawa watu wakiamuwa kukumaliza wanakumaliza huruma yangu tu kwa watoto wadogo wasiojuwa chochote kuwa majivu dah visasi vya Maangamizi

Mnatishia watu huko barabarani na silaha za kivita marungu mask tena nduguzenu hawana hata upinde kisa ubabe ....natamani mgekuwepo pembeni ya hiyo gharika hapo juu mjifunze .... Amani ni Tunu mtu aki chafukwa ....
Well said
 
Jeshi la Lebanon limeenda kulinda ubalozi wa USA wakati IDF wanafanya striking. Hawa hawana tofauti na Saudi Arabia. Iran ana kazi ya kufanya hapa kuondoka huu ukiritimba uliojengwa hapa Lebanon.
Iran ndio mpuuzi na soon watamgeukia apate nayeye haki yake.
 
Akili kubwa kufagia mtaa mzima kisa kuna adui yako mmoja tu unayemtafuta? You can't be serious ukimkosa Mungu na imani huwezi kua clever wale walibugi tangu mwanzo japo Mungu wao aliwapenda lakini walishafeli nae kuwakataa mara ya kwanza aliwazungusha jangwani miaka 40, sasa amewanyima amani na akawajaza kiburi kama cha Firauni, halafu kawapa hofu ya kifo then yeye Mungu ndio Mkusanya roho, hivyo wao ni kuhangaika tu na kuambia wataishi hivyo miaka na miaka mpaka qiyama isipokua watakao watakao jaaliwa na Mila hekima ya kutubu.
Mnaleta huruma sasa hivi. Alianzisha nani ..?
 
Jeshi lipo lakini halijihusishi na vita. Israel anapigana na kikundi kidogo tu kama vile alshabab ya Somalia au bokoharam ya Nigeria.

Wafarisayo wa yombo sasa..... Israel taifa kubwa..... IDF inawashambulia vibaya.....

Kiuhalisia Israel na nyenzo na vyombo vyake vyote ni failure. Huwezi kuhangaika na wanamgambo tu miaka kibao huku ukiua wanawake na watoto wasio na hatia.
Ww n mwehu
 
Mimi Israel ananikosha sana. Yaaei aendelee kupiga mpaka akomeshe kabisa ugaidi Wa Hzbollah.
 
Mimi Israel ananikosha sana. Yaaei aendelee kupiga mpaka akomeshe kabisa ugaidi Wa Hzbollah.
Hiki afanyacho Netanyau ndio kinachotakiwa. Kimsingi, hutakiwi kucheka na wajukuu wa allah. Hao unatakiwa udili nao kweli kweli
Hao inatakiwa iwe Jino kwa Jino na Jicho kwa Jicho.

Ukicheka na nyani utavuna mabua.
 
Hivi hawa jamaa hawana jeshi au? Hivi hawana hata ndege au hata kifaru?Nchi gani inaonewa na Israel sana

Jeshi lao sijui lipo na linafanya nini

Ni nchi ambayo wakristo ndo wengi hata sheria za lebanon zinasema rais lazima awe mkristo na waziri mkuu awe muislam!

Maana Israel anaingia na kupiga atakavyo hawa watu sijui ninini shida
WAngekuwa na ndege bila shaka US wangeziwekea vikwazo zisiruke ili wawapige kama Libya.
Dunia inafurahisha sana. Juzi nilikuwa natazama kuw US ametuma cruster bombs kwa Ukraine na bila kificho kasema kabisa katuma. Wakati miezi kadhaa nyuma alikuwa anadai Russia anatumia cruster bombs dhidi ya Ukraine wakati mikataba ya kimataifa imezuia kutumia cruster bombs hivyo Russia inapaswa ishitakiwe kwa makosa ya uhalifu wa kivita.
Ila kusema ukweli west Asia sasa hivi moto unawaka hii vita inaelekea kuwa full scale na watakufa watu wengi nadhani wanayemtafuta hapa ni Iran anaye ajichanganye waanze kushambulia moja kwa moja ndani.
 

View: https://x.com/ImtiazMadmood/status/1839757366058766700?t=VT3DefzOsYl-Z6tEnz86XQ&s=19

Kwa mujibu wa taarifa za kijasusi za Marekani, kama kweli Hassan Nasrallah alikuwa ndani ya handaki, chini ya barabara zilizoharibiwa za Beirut, haiwezekani kwa yeye kupona. Huu sio uvumi, bali ni tathmini ya kina na makini kutoka kwa wataalamu wa ulimwengu wa ujasusi. Mabomu yaliyotumika na Israeli hayakutengenezwa kukosa shabaha au kuacha njia za kutoroka zikiwa salama—yalitengenezwa kuangamiza chochote kilichoko chini.

Kama Nasrallah alikuwa pale, basi amekufa. Ngome za chini ya ardhi ambazo Hezbollah inategemea zinaweza kuwa zimejengwa kwa kina, lakini hazishindikani. Mabomu haya hupenya tabaka za zege, chuma, na ardhi kwa kusudi moja: kuhakikisha kwamba hakuna kitu—hakuna mtambo, hakuna kiongozi, hakuna mpiganaji—atakayenusurika.

Ripoti zinadai kuwa kiongozi wa Hezbollah, Hassan Nasrallah, alijeruhiwa vibaya katika shambulio la anga la Israeli ambalo lilibomoa majengo sita katika kitongoji cha kusini mwa Beirut, Haret Hreik.

Nasrallah alikuwa akijificha kwenye handaki lililojengewa ulinzi, mita 30 chini ya ardhi, lakini ndege za kivita za Israeli zililenga eneo hilo kwa mabomu ya MK84 yaliyobomoa maficho baada ya kuthibitisha uwepo wake
 
May all souls find enlightment,

Tusichoshane, baada ya viongozi waandamizi wote wa Hizbullah kuliwa vichwa, leo masaa 6 yaliyopita hatimae ilikua zamu ya kiongozi mkuu Nasrallah kupokea ticket yake kwenda kupewa mabikra 72.

Akiwa katika bunker mjini Beirut, majeshi ya Israel yameitifua bunker hiyo na kuacha majivu huku waliokuwemo ndani pamoja na Nasrallah wakipelekwa mji wa mabikra 72 kwa kushtukiwa.

1727497090433.png


 

Attachments

  • Screenshot_20240928-071524_Quora.jpg
    Screenshot_20240928-071524_Quora.jpg
    139.6 KB · Views: 2
Hivi hawa jamaa hawana jeshi au? Hivi hawana hata ndege au hata kifaru?Nchi gani inaonewa na Israel sana

Jeshi lao sijui lipo na linafanya nini

Ni nchi ambayo wakristo ndo wengi hata sheria za lebanon zinasema rais lazima awe mkristo na waziri mkuu awe muislam!

Maana Israel anaingia na kupiga atakavyo hawa watu sijui ninini shida
IMG_2990.jpeg

Mkuu hizo story ni za kijowe gani unatuletea kwamba Wakristo Lebanon ni wengi kuliko labda waislam? Soma hiyo.

Pia mlikuea mnasema Hezbollah wanajeshi imara na vifaa vya kisasa kuliko Israel halafu leo mnauliza kama Lenanon wanajeshi wakati vita imeanzishwa na Hezbollah? Ninyo watu mtu anayejaribu kuwaelewa basi aliambiwa achague kati ya kuwaelewa ninyi au kuchota maji kwa chujio na kwenda kujaza pipa akaona bora apoteze muda wake kwa kujifanya anakaribu kuwaeleweni.
 
Back
Top Bottom