Nipo kwenye whatsapp group moja na Ayatollah, sijui nani ame screeshot na kumtumia hii comment yako, na yeye kaituma group na kuweka caption inasomeka; "Msiwasikilize watu wa aina hii, wanataka kutujaza ujinga halafu watuchuuze. Wasalamu waleko".Israel Hana ubavu wa kuipiga Iran atazionea tu vinchi vidogo vidogo Tena kwa msaada wa marekani
Yaani anawapa wakati mgumu wavaa kobazi...Mimi Israel ananikosha sana. Yaaei aendelee kupiga mpaka akomeshe kabisa ugaidi Wa Hzbollah.
Aisee hivi kobazi ndio mliwategemea hezbollah wangewafutia Israel kweli bora hata hamas mgewategemea kidogoMay all souls find enlightment,
Tusichoshane, baada ya viongozi waandamizi wote wa Hizbullah kuliwa vichwa, leo masaa 6 yaliyopita hatimae ilikua zamu ya kiongozi mkuu Nasrallah kupokea ticket yake kwenda kupewa mabikra 72.
Akiwa katika bunker mjini Beirut, majeshi ya Israel yameitifua bunker hiyo na kuacha majivu huku waliokuwemo ndani pamoja na Nasrallah wakipelekwa mji wa mabikra 72 kwa kushtukiwa.
View attachment 3109123
Israel: The IDF estimates that Hezbollah Leader General Hassan Nasrallah was liquidated by a strike
"Nasrallah was in a bunker that was attacked and it would be difficult for those who were there to survive.” Israel hit the Hezbollah headquarters. The Hezbollah leader is believed to have been in an underground bunker beneath Hezbollah headquarters in southern Beirut when the strike occurred. ...onlytruthaboutrussia.quora.com
Hahaha haIsrael MTOA ROHO zisizo na hatia
Jeshi ndiyo hilo Hezibula.Hivi hawa jamaa hawana jeshi au? Hivi hawana hata ndege au hata kifaru?Nchi gani inaonewa na Israel sana
Jeshi lao sijui lipo na linafanya nini
Ni nchi ambayo wakristo ndo wengi hata sheria za lebanon zinasema rais lazima awe mkristo na waziri mkuu awe muislam!
Maana Israel anaingia na kupiga atakavyo hawa watu sijui ninini shida
Siku si nyingi utakuja hapahapa kusema Israel inapiga wanawake na watoto wa Iran, pale ambao majeshi ya Iran yatakuwa yanajificha kwenye makazi ya raia kujaribu kujikinga na dhahama ya Israel.Israel Hana ubavu wa kuipiga Iran atazionea tu vinchi vidogo vidogo Tena kwa msaada wa marekani
Inamaana taifa Moja Lina majeshi mawili hao Hezbollah si wana masilaa mazito mazito kabisa Hilo limewezekanaje?Jeshi halitaki kuingilia ugomvi wa Hezbollah na Israel.
Hammas wanawajua vyema Israel ila Hawa Hizb ni hovyo kabisa.Afadhali hata Hamas walikaza kaza. Hawa Hizbollah ni bure kabisa, wanaondolewa kama mende
Kama zimetoka Marekani ni haohao walioletewa ndio wanazitengeneza huko na ndio maana wameletewa na jiulize nyie mbona msipewe.Silaha zimetoka marekani hizo
Nasrallah amekuwa ni wakala mtiifu wa Iran na Syria katika chokochoko zao dhidi ya IsraelKama raisi wa Iran na kiongozi wa Hamas waliuwawa yeye ni nani? Acha afe tu hakuna namna, nakama nikweli basi pombe walizonyimwa kutumia huku duniani muda huu anaogelea tu kwenye konyagi
Al jazeera wamekanusha yale majengo sio mkao makuu ya Hezbollah bali ni makazi ya watu wa kawaida.Hakuna anaejua zilipo ofisi za Hezbollah .
View: https://x.com/ImtiazMadmood/status/1839757366058766700?t=VT3DefzOsYl-Z6tEnz86XQ&s=19
Kwa mujibu wa taarifa za kijasusi za Marekani, kama kweli Hassan Nasrallah alikuwa ndani ya handaki, chini ya barabara zilizoharibiwa za Beirut, haiwezekani kwa yeye kupona. Huu sio uvumi, bali ni tathmini ya kina na makini kutoka kwa wataalamu wa ulimwengu wa ujasusi. Mabomu yaliyotumika na Israeli hayakutengenezwa kukosa shabaha au kuacha njia za kutoroka zikiwa salama—yalitengenezwa kuangamiza chochote kilichoko chini.
Kama Nasrallah alikuwa pale, basi amekufa. Ngome za chini ya ardhi ambazo Hezbollah inategemea zinaweza kuwa zimejengwa kwa kina, lakini hazishindikani. Mabomu haya hupenya tabaka za zege, chuma, na ardhi kwa kusudi moja: kuhakikisha kwamba hakuna kitu—hakuna mtambo, hakuna kiongozi, hakuna mpiganaji—atakayenusurika.
Ripoti zinadai kuwa kiongozi wa Hezbollah, Hassan Nasrallah, alijeruhiwa vibaya katika shambulio la anga la Israeli ambalo lilibomoa majengo sita katika kitongoji cha kusini mwa Beirut, Haret Hreik.
Nasrallah alikuwa akijificha kwenye handaki lililojengewa ulinzi, mita 30 chini ya ardhi, lakini ndege za kivita za Israeli zililenga eneo hilo kwa mabomu ya MK84 yaliyobomoa maficho baada ya kuthibitisha uwepo wake
May all souls find enlightment,
Tusichoshane, baada ya viongozi waandamizi wote wa Hizbullah kuliwa vichwa, leo masaa 6 yaliyopita hatimae ilikua zamu ya kiongozi mkuu Nasrallah kupokea ticket yake kwenda kupewa mabikra 72.
Akiwa katika bunker mjini Beirut, majeshi ya Israel yameitifua bunker hiyo na kuacha majivu huku waliokuwemo ndani pamoja na Nasrallah wakipelekwa mji wa mabikra 72 kwa kushtukiwa.
View attachment 3109123
Kuna sumu fulani kama chaki; ukichorachora ukutani na sakafuni mida ya kwenda kulala asubuhi mnakuta mende wote ndani ya nyumba chali! Ni kufagia na kwenda kutupa tu! Ha ha ha!Afadhali hata Hamas walikaza kaza. Hawa Hizbollah ni bure kabisa, wanaondolewa kama mende
Ulitegemea Aljazeera waseme nini zaidi ya kukanusha? Kama Israel kamuua Ismail Haniya, Ibrahim Rais pamoja na intel yooote ya Iran, na ikisaidiwa na russia na north korea ndo ishindwe kujua makaa makuu ya hezbollah?Al jazeera wamekanusha yale majengo sio mkao makuu ya Hezbollah bali ni makazi ya watu wa kawaida.Hakuna anaejua zilipo ofisi za Hezbollah .