Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Israel HANA ugomvi na Lebanon na Serikali yake. Hizbollah ni kikundi tu cha magaidi kinachokaa Kusini mwa Lebanon kibabe kwa Msaada wa Iran lengo kupigana na Israel. Hata Walebanon wenyewe HAWAWATAKI Hizbollah nchini mwao na watakuwa wanaomba kimoyomoyo na hadharani Israel isaidie kuwaondoa nchini mwao!Hivi hawa jamaa hawana jeshi au? Hivi hawana hata ndege au hata kifaru?Nchi gani inaonewa na Israel sana
Jeshi lao sijui lipo na linafanya nini
Ni nchi ambayo wakristo ndo wengi hata sheria za lebanon zinasema rais lazima awe mkristo na waziri mkuu awe muislam!
Maana Israel anaingia na kupiga atakavyo hawa watu sijui ninini shida
Vita si ya Serikali ila HezbollahHivi hawa jamaa hawana jeshi au? Hivi hawana hata ndege au hata kifaru?Nchi gani inaonewa na Israel sana
Jeshi lao sijui lipo na linafanya nini
Ni nchi ambayo wakristo ndo wengi hata sheria za lebanon zinasema rais lazima awe mkristo na waziri mkuu awe muislam!
Maana Israel anaingia na kupiga atakavyo hawa watu sijui ninini shida
Wanafurahisha sana.Kwani siku walipoishambulia Israel walichagua cha kupiga?
Kama walivyofagia ndivyo walivyofagiliwa. Na bado.
Nyie mabwege sana. Mlishangilia sana ile October mwaka jana. Tuliwaambia kuichokoza Israel kisasi chake ni kikali. Mkasema hana lolote na kuweka hesabu zenu za nguvu ya kijeshi hapa. Leo kiko wapi?
Ipo siku na hii kauli mtaikana kama mnavyokana now. Mlisemaga hezbollah n kiboko ya israel what happened..?Israel Hana ubavu wa kuipiga Iran atazionea tu vinchi vidogo vidogo Tena kwa msaada wa marekani
kupigana na Hezbollah ni rahisi zaidi kuliko kupigana hamas.Hezbollah naona ni wepesi mno kuliko HAMAS
Kama raisi wake ameuliwa ndani ya nchi yake je hapo ana ubavu upi..? Jana mwamba kasema live kuwa hakuna sehemu yeyote atashindwa kuingia na kupiga hapo Iran. ๐๐๐Israel Hana ubavu wa kuipiga Iran atazionea tu vinchi vidogo vidogo Tena kwa msaada wa marekani
Eehh ndio mnaukumbuka ukristo mkidhan ndio itakua pona yenu ,mmeumia..kwa taarifa yako wayahudi sio wakristo. Nyie ndio oneen huruma wenzenu katika iman na waislam pale lebabon ndio wanawaponza wakristo kisa hezbollahKumbe hezbollah ni nchi na hamsemi[emoji23][emoji23]
Wakristo wenzenu wa Lebanon wanaangamizwa halaf mnacheka
Hatuchagui silaha. Hata zikitola bongo tunatumiaSilaha zimetoka marekani hizo
Yaan uende kuanzisha taifa katikati ya maadui halafu uogope kifo hauko serious mzee.Tizama wanavyomforce netanyau akubali cease fire tizama wanavyo kimbia kwenye mabanda kujificha hawaogopi kifo ila Mungu ndio kawajaza hofu ya kifo kwa kuwatamanisha maisha ya dunia
Kwan aliyeuawa juz kat kwenye helcopter alikua na rais wa nchi gani mzee Kosugi .? Au uchungu umekuzidia kwa maumivu ya kipigo hicho??Kuna rais gani wa Iran aliuawa!?
Unaweza ukatutajia jina na ukatuletea ushahidi kama aliuawa!?
Kwanza tuambie wew nimsunni au shiaWakiristo wa Jf kwa propaganda sijui wanasomea wapi? Kwa taarifa yenu uislam hamuwezi kabisa. Mapadri wengi na wachungaji wanasilimu nyinyi bakini na propaganda zenu. Mkifa mkachomwe vizuri
Nyie tumewazoea hata mtu akianguka na baiskeli pale Tehran mnasema ni Israeli kusababisha . Ile ilikua ajali ya kawaida na taarifa ya uchunguzi ilishatolewa.Kama raisi wake ameuliwa ndani ya nchi yake je hapo ana ubavu upi..? Jana mwamba kasema live kuwa hakuna sehemu yeyote atashindwa kuingia na kupiga hapo Iran. ๐๐๐
All the best๐ฎ๐ฑ
Na ni kiboko kweli kweli. Muda si mrefu Israeli watatangaza ceasefireIpo siku na hii kauli mtaikana kama mnavyokana now. Mlisemaga hezbollah n kiboko ya israel what happened..?
Hahaha umenichekesha afu niko kanisaniHamas huko aliko anachekelea shoo anayokutana nayo mwenzake.
Hezbollah alikuja kwa mikwara "Oi mzee Baba Hamas Bway niachie mchumba tu huyo, vitu vyangu hivi". Hamas akauliza "Kweli unataka?", Hezbollah "Unauweka unauweka..."
Matokeo saivi kuna baadhi ya mashabiki wa Hezbollah wanauliza hivi Lebanon hawana jeshi?, Jeshi gani tena? Hao Hezbollah si ndo jeshi lenyewe?
VITA haiwezi kuleta amani.
Iran siyo Gaza. Level ya Iran ni baba zake Israel ambao wanampa kiburi siyo hicho kijinchiSiku si nyingi utakuja hapahapa kusema Israel inapiga wanawake na watoto wa Iran, pale ambao majeshi ya Iran yatakuwa yanajificha kwenye makazi ya raia kujaribu kujikinga na dhahama ya Israel.
Wale wa buza watasema imetengenezwa hii.Makao makuu ya Hezbollah mjini Beirut yamechakazwa vibaya kwa ndege za kivita za Israel na kuharibu eneo lote kabisa, shambulio Hilo lilimlenga kiongozi wa Hezbollah Hassan nasrallah ambaye haijulikani alipo mpaka sasa
Hamas huko aliko anachekelea shoo anayokutana nayo mwenzake.
Hezbollah alikuja kwa mikwara "Oi mzee Baba Hamas niachie nikupokeze mchumba tu huyo, vitu vyangu hivi". Hamas akauliza "Kweli unataka?", Hezbollah "Unauweka unauweka..." kinachoendelea ni kinyume kabisa ya walichotegemea
View attachment 3108670
๐๐๐Hamas huko aliko anachekelea shoo anayokutana nayo mwenzake.
Hezbollah alikuja kwa mikwara "Oi mzee Baba Hamas Bway niachie mchumba tu huyo, vitu vyangu hivi". Hamas akauliza "Kweli unataka?", Hezbollah "Unauweka unauweka..."
Matokeo saivi kuna baadhi ya mashabiki wa Hezbollah wanauliza hivi Lebanon hawana jeshi?, Jeshi gani tena? Hao Hezbollah si ndo jeshi lenyewe?
VITA haiwezi kuleta amani.