Jeshi la Israel Limelipua makao makuu ya Hezbollah Beirut wakati Netanyahu anaendelea kutoa speech umoja wa mataifa

Jeshi la Israel Limelipua makao makuu ya Hezbollah Beirut wakati Netanyahu anaendelea kutoa speech umoja wa mataifa

Hivi hawa jamaa hawana jeshi au? Hivi hawana hata ndege au hata kifaru?Nchi gani inaonewa na Israel sana

Jeshi lao sijui lipo na linafanya nini

Ni nchi ambayo wakristo ndo wengi hata sheria za lebanon zinasema rais lazima awe mkristo na waziri mkuu awe muislam!

Maana Israel anaingia na kupiga atakavyo hawa watu sijui ninini shida
Israel HANA ugomvi na Lebanon na Serikali yake. Hizbollah ni kikundi tu cha magaidi kinachokaa Kusini mwa Lebanon kibabe kwa Msaada wa Iran lengo kupigana na Israel. Hata Walebanon wenyewe HAWAWATAKI Hizbollah nchini mwao na watakuwa wanaomba kimoyomoyo na hadharani Israel isaidie kuwaondoa nchini mwao!
 
Hivi hawa jamaa hawana jeshi au? Hivi hawana hata ndege au hata kifaru?Nchi gani inaonewa na Israel sana

Jeshi lao sijui lipo na linafanya nini

Ni nchi ambayo wakristo ndo wengi hata sheria za lebanon zinasema rais lazima awe mkristo na waziri mkuu awe muislam!

Maana Israel anaingia na kupiga atakavyo hawa watu sijui ninini shida
Vita si ya Serikali ila Hezbollah
 
Malaria, Kosugi na Dada yao Faiza hizi ni taarifa zinazoumiza sana nyoyo zao.
 
Kwani siku walipoishambulia Israel walichagua cha kupiga?

Kama walivyofagia ndivyo walivyofagiliwa. Na bado.

Nyie mabwege sana. Mlishangilia sana ile October mwaka jana. Tuliwaambia kuichokoza Israel kisasi chake ni kikali. Mkasema hana lolote na kuweka hesabu zenu za nguvu ya kijeshi hapa. Leo kiko wapi?
Wanafurahisha sana.
 
Israel Hana ubavu wa kuipiga Iran atazionea tu vinchi vidogo vidogo Tena kwa msaada wa marekani
Kama raisi wake ameuliwa ndani ya nchi yake je hapo ana ubavu upi..? Jana mwamba kasema live kuwa hakuna sehemu yeyote atashindwa kuingia na kupiga hapo Iran. 😁😁😁
All the best🇮🇱
 
Kumbe hezbollah ni nchi na hamsemi[emoji23][emoji23]

Wakristo wenzenu wa Lebanon wanaangamizwa halaf mnacheka
Eehh ndio mnaukumbuka ukristo mkidhan ndio itakua pona yenu ,mmeumia..kwa taarifa yako wayahudi sio wakristo. Nyie ndio oneen huruma wenzenu katika iman na waislam pale lebabon ndio wanawaponza wakristo kisa hezbollah
 
Nichukue nafasi hii kuwapongeza Hezbollah kwa makao yao makuu kulipuliwa na Jeshi la Israel
 
Tizama wanavyomforce netanyau akubali cease fire tizama wanavyo kimbia kwenye mabanda kujificha hawaogopi kifo ila Mungu ndio kawajaza hofu ya kifo kwa kuwatamanisha maisha ya dunia
Yaan uende kuanzisha taifa katikati ya maadui halafu uogope kifo hauko serious mzee.
 
Wakiristo wa Jf kwa propaganda sijui wanasomea wapi? Kwa taarifa yenu uislam hamuwezi kabisa. Mapadri wengi na wachungaji wanasilimu nyinyi bakini na propaganda zenu. Mkifa mkachomwe vizuri
Kwanza tuambie wew nimsunni au shia
 
Kama raisi wake ameuliwa ndani ya nchi yake je hapo ana ubavu upi..? Jana mwamba kasema live kuwa hakuna sehemu yeyote atashindwa kuingia na kupiga hapo Iran. 😁😁😁
All the best🇮🇱
Nyie tumewazoea hata mtu akianguka na baiskeli pale Tehran mnasema ni Israeli kusababisha . Ile ilikua ajali ya kawaida na taarifa ya uchunguzi ilishatolewa.
 
Hamas huko aliko anachekelea shoo anayokutana nayo mwenzake.

Hezbollah alikuja kwa mikwara "Oi mzee Baba Hamas Bway niachie mchumba tu huyo, vitu vyangu hivi". Hamas akauliza "Kweli unataka?", Hezbollah "Unauweka unauweka..."

Matokeo saivi kuna baadhi ya mashabiki wa Hezbollah wanauliza hivi Lebanon hawana jeshi?, Jeshi gani tena? Hao Hezbollah si ndo jeshi lenyewe?

VITA haiwezi kuleta amani.
Hahaha umenichekesha afu niko kanisani
 
Siku si nyingi utakuja hapahapa kusema Israel inapiga wanawake na watoto wa Iran, pale ambao majeshi ya Iran yatakuwa yanajificha kwenye makazi ya raia kujaribu kujikinga na dhahama ya Israel.
Iran siyo Gaza. Level ya Iran ni baba zake Israel ambao wanampa kiburi siyo hicho kijinchi
 
Makao makuu ya Hezbollah mjini Beirut yamechakazwa vibaya kwa ndege za kivita za Israel na kuharibu eneo lote kabisa, shambulio Hilo lilimlenga kiongozi wa Hezbollah Hassan nasrallah ambaye haijulikani alipo mpaka sasa

Hamas huko aliko anachekelea shoo anayokutana nayo mwenzake.

Hezbollah alikuja kwa mikwara "Oi mzee Baba Hamas niachie nikupokeze mchumba tu huyo, vitu vyangu hivi". Hamas akauliza "Kweli unataka?", Hezbollah "Unauweka unauweka..." kinachoendelea ni kinyume kabisa ya walichotegemea

View attachment 3108670
Wale wa buza watasema imetengenezwa hii.
 
Hamas huko aliko anachekelea shoo anayokutana nayo mwenzake.

Hezbollah alikuja kwa mikwara "Oi mzee Baba Hamas Bway niachie mchumba tu huyo, vitu vyangu hivi". Hamas akauliza "Kweli unataka?", Hezbollah "Unauweka unauweka..."

Matokeo saivi kuna baadhi ya mashabiki wa Hezbollah wanauliza hivi Lebanon hawana jeshi?, Jeshi gani tena? Hao Hezbollah si ndo jeshi lenyewe?

VITA haiwezi kuleta amani.
😁😁😁
 
Back
Top Bottom