rushanju
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 3,238
- 5,106
Ulitaka waseme ukweli?Al jazeera wamekanusha yale majengo sio mkao makuu ya Hezbollah bali ni makazi ya watu wa kawaida.Hakuna anaejua zilipo ofisi za Hezbollah .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka waseme ukweli?Al jazeera wamekanusha yale majengo sio mkao makuu ya Hezbollah bali ni makazi ya watu wa kawaida.Hakuna anaejua zilipo ofisi za Hezbollah .
Kobaaz wakiambiwa kuwa mossad ni habari nyingine huwa wanafikiri ni kama TISS tu au pengine chini ya hapoKwan mtiririko wa mauaji ya makamanda wake hata kama amepona kwenye hili shambulio basi siku zake za kuishi zinakaribia ukingoni.
Mara mia hata Hamas Hawa Hizbullah mdomo mwingiwameutafuta ugomvi kwa udi na uvumba .
Wamezitengeneza wapi we mama!?Kama zimetoka Marekani ni haohao walioletewa ndio wanazitengeneza huko na ndio maana wameletewa na jiulize nyie mbona msipewe.
Nizaidi ya mende😂😂😂Afadhali hata Hamas walikaza kaza. Hawa Hizbollah ni bure kabisa, wanaondolewa kama mende
Ni kweli mapadri wengi wanasilimu kama ambavyo magaidi mengi mnawaishwa kwenda kupewa mabikra 72Wakiristo wa Jf kwa propaganda sijui wanasomea wapi? Kwa taarifa yenu uislam hamuwezi kabisa. Mapadri wengi na wachungaji wanasilimu nyinyi bakini na propaganda zenu. Mkifa mkachomwe vizuri
Wenzio tunapewa bikra 72 huku makafiri kama wewe mkiwa ktk moto uwakaoNi kweli mapadri wengi wanasilimu kama ambavyo magaidi mengi mnawaishwa kwenda kupewa mabikra 72
Umeonaaa sasa walivyo vgeu geu shida wanaambiwa uongo ni sehem yakumshinda israelKipindi wanashambulia ndani ya Israel mlikuwa mnasema Israel anawaogopa hizbollah Leo Mnataka na kesho rasmi la Lebanon lihusike na sio hizbollah pekee
Ni kweli mapadri wengi wanasilimu kama ambavyo magaidi mengi mnawaishwa kwenda kupewa mabikra 72
Ko wanasubiri wapegwee ndio wapate hasira 😁Mbona Israel safari hii hashambulii? Fuatilieni mashambulizi ya Israel 2006, kweli watu hamfuatilii.
Israel ilipiga kuanzia International airport Beirut, nyumba za viongozi wa Hezbollah hadi Hq za hezbollah hapo Beirut.. vituo vya mafuta, vyanzo vya umeme, walipiga target za Hezbollah zipatazo 83, kiongozi wao wa jeshi kamanda Halutz kipindi hiko akasema wamemaliza vita na waneshinda...
Baada ya hapo kipigo kilichofuatia Israel hakuamini...
Hii vita Israel atalipa...
Una elimu gani?maana wakati flani elimu husaidia pia.Wakiristo wa Jf kwa propaganda sijui wanasomea wapi? Kwa taarifa yenu uislam hamuwezi kabisa. Mapadri wengi na wachungaji wanasilimu nyinyi bakini na propaganda zenu. Mkifa mkachomwe vizuri
Mlisema israel alipgwa 2006 mpaka akakimbia nasafarii hii tunasubiri hcho mnachosema kikundi kimpge tena mpaka un waingilie kati kuinusuru israel kama wakat uleeJeshi lipo lakini halijihusishi na vita. Israel anapigana na kikundi kidogo tu kama vile alshabab ya Somalia au bokoharam ya Nigeria.
Wafarisayo wa yombo sasa..... Israel taifa kubwa..... IDF inawashambulia vibaya.....
Kiuhalisia Israel na nyenzo na vyombo vyake vyote ni failure. Huwezi kuhangaika na wanamgambo tu miaka kibao huku ukiua wanawake na watoto wasio na hatia.
😀😀 Kwahyo adhabu aliyopata inamstahiliNasrallah amekuwa ni wakala mtiifu wa Iran na Syria katika chokochoko zao dhidi ya Israel
Kama inasaidia ungalinunua udogo wa Mwamposa?Una elimu gani?maana wakati flani elimu husaidia pia.
Wapo mpakani,tunasubiri waingie,Ili mateka wa kukomboa waongezekeMlisema israel alipgwa 2006 mpaka akakimbia nasafarii hii tunasubiri hcho mnachosema kikundi kimpge tena mpaka un waingilie kati kuinusuru israel kama wakat ulee
Ukiwa miongoni mwa Hizibolla, uwezejano wa kuwapiga Israel ni mkubwa chief,Mbona Israel safari hii hashambulii? Fuatilieni mashambulizi ya Israel 2006, kweli watu hamfuatilii.
Israel ilipiga kuanzia International airport Beirut, nyumba za viongozi wa Hezbollah hadi Hq za hezbollah hapo Beirut.. vituo vya mafuta, vyanzo vya umeme, walipiga target za Hezbollah zipatazo 83, kiongozi wao wa jeshi kamanda Halutz kipindi hiko akasema wamemaliza vita na waneshinda...
Baada ya hapo kipigo kilichofuatia Israel hakuamini...
Hii vita Israel atalipa...