K Kida ze great JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 242 Reaction score 288 Dec 10, 2024 #61 Adiosamigo said: Kuna hadithi ya Mtume Muhammad Israel atafika mpaa Damascus, afu bada ya hapo ndipo itakombolewa Palestine, na haswa Masjid Al Aqsa. Kwa hio kila Israel akimeza Syria ndio anajichimbia kaburi lake. Hata wayahudi wanajua hayo. View: https://youtu.be/dwtkm8j3NiA?si=33vFwa2HRet28Ls_ Click to expand... Hii inaitwa pauka pakawa ππ na wewe kweli ukapauka ππ ushaambiwa hadithi alafu we unaamini tu pasipo kushughulisha akili yakoπ ππ
Adiosamigo said: Kuna hadithi ya Mtume Muhammad Israel atafika mpaa Damascus, afu bada ya hapo ndipo itakombolewa Palestine, na haswa Masjid Al Aqsa. Kwa hio kila Israel akimeza Syria ndio anajichimbia kaburi lake. Hata wayahudi wanajua hayo. View: https://youtu.be/dwtkm8j3NiA?si=33vFwa2HRet28Ls_ Click to expand... Hii inaitwa pauka pakawa ππ na wewe kweli ukapauka ππ ushaambiwa hadithi alafu we unaamini tu pasipo kushughulisha akili yakoπ ππ
mtimawachi JF-Expert Member Joined Apr 1, 2020 Posts 2,108 Reaction score 3,155 Dec 10, 2024 #62 Dah! Uzi ushakuwa tatizo huu
hamis77 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 13,628 Reaction score 20,992 Dec 10, 2024 #63 passioner255 said: Israel hawana uwezo wa kuipiga Iran watachakazwa zaidi ya juzi Click to expand... Bangi hizi
passioner255 said: Israel hawana uwezo wa kuipiga Iran watachakazwa zaidi ya juzi Click to expand... Bangi hizi
hamis77 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 13,628 Reaction score 20,992 Dec 10, 2024 #64 passioner255 said: Huu ni mlima ambao Malaika waasi walishuka kutoka mbinguni.watoto wao wanataka kuuchukua Click to expand... Umetoa wapi hizi ngonjera
passioner255 said: Huu ni mlima ambao Malaika waasi walishuka kutoka mbinguni.watoto wao wanataka kuuchukua Click to expand... Umetoa wapi hizi ngonjera