Kida ze great
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 242
- 288
Kuna hadithi ya Mtume Muhammad Israel atafika mpaa Damascus, afu bada ya hapo ndipo itakombolewa Palestine, na haswa Masjid Al Aqsa.
Kwa hio kila Israel akimeza Syria ndio anajichimbia kaburi lake. Hata wayahudi wanajua hayo.
View: https://youtu.be/dwtkm8j3NiA?si=33vFwa2HRet28Ls_
Hii inaitwa pauka pakawa 😂😂 na wewe kweli ukapauka 😂😂 ushaambiwa hadithi alafu we unaamini tu pasipo kushughulisha akili yako😅😂😂