imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Kenya ina Jeshi zuri ila limegawanyika Kikabila ni rahisi kutoa siri za jeshi lao kwa adui.Kenya lililojaa wanajeshi wenye vitambi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenya ina Jeshi zuri ila limegawanyika Kikabila ni rahisi kutoa siri za jeshi lao kwa adui.Kenya lililojaa wanajeshi wenye vitambi
Yah ngoja tuone itakavyokuwa baada ya hao M23 kukataa kutii amri halali iliyotolewa na serikali ya Congo wakishirikiana na viongozi wa nchi za afrika mashariki.Kenya ina Jeshi zuri ila limegawanyika Kikabila ni rahisi kutoa siri za jeshi lao kwa adui.
Namna Tishekedi anavyolazimisha kuwa Askari wa M23 waweke silaha chini Wasarende ni escalation ngoja ile tume ya Uhuru Kenyeta ndio watu wengi wanaisubiri.Yah ngoja tuone itakavyokuwa baada ya hao M23 kukataa kutii amri halali iliyotolewa na serikali ya Congo wakishirikiana na viongozi wa nchi za afrika mashariki.
Angalia approach ya Wakenya na wanavyoingizwa "kingi" na Majeshi ya Kongo Askari wa Kongo hawajiamini wana lack training na wanavaa nguo za civilian ili kikinuka wachichanganye na civilian. Jionee mwenyewe.
Yule huwa ana mikwala tu,mkwala aliompiga jk na tz tungekua maboya tungenywea,tukafanya tuliyofanya na akaja kuyajenga na mkwerePK aliulizwa na CGTN khs madai ya Congo kusema itaishambulia Kigali akasema Congo na Allies wake wanajua Kigali ilipo wafanye hivyo wajionee mambo yatakavyokua.
Angalia approach ya Wakenya na wanavyoingizwa "kingi" na Majeshi ya Kongo Askari wa Kongo hawajiamini wana lack training na wanavaa nguo za civilian ili kikinuka wachichanganye na civilian. Jionee mwenyewe.
Uko sahihi kabisa 😂😂😂😂🤣😂Hii ni kama vile mnakwenda porini kuwinda sungura, afu wenzako wanakwambia pitia kwa kule nyuma ya ule mti mkubwa ndo utaweza kufikia mahali walipojificha sungura. Sasa kwa mwenye akili utajiuliza inakuaje mmnakwenda kuwinda wote afu wenzako wanakueleza sehem ya kupitia ili ukakamate hao sungura huku wenyew wakionekana kugoma kwenda huko walipokuelekeza.
Hii inamaana kwamba huenda njia hiyo wanayokuelekeza kuna wanyama wakali kama vile simba, chui nk ndo maana wanakuelekeza wew mgeni ndio utangulie kwenda huko huku wenyew wakijificha kuona matokeo ya ulipokwenda 😂😂😂
Tanzania ina askari kupitia sadc na UN sidhani kama imekaa pembeni ka ulivyodaiLeo wamepeleka troops zingine Goma! Wanajipanga tu isitokee aibu! Ukiona jambo TZ wamejikalia pembeni ogopa [emoji2]
Huyo ni Meja Jenerali Jef Nyaga ni Mkikuyu halafu ukute M23 wameshamsoma hadi tabia zake na udhaifu wake.😄😄 Boss wa KDF ana mbwembwe huyo si mchezo.Mimi nataka Marekani isianze kupiga mikwara tuone kdf vs M23 Nani Ni Nani mkuu.
Hakuna ubaya wowote.Cargo plane of rwanda arrived 24 NOV 2022,standby for exporting RWANDESE NATURAL RESOUCES AVAILS IN RWANDA
View attachment 2428245
Hii ndo itatumika kuingiza silaha,, Rwanda na uganda ni landlocked, wanategemea bandari ya dar au mombasa,, ikitokea wakawekewa vikwazo vya kuingiza silaha,,Cargo plane of rwanda arrived 24 NOV 2022,standby for exporting RWANDESE NATURAL RESOUCES AVAILS IN RWANDA
View attachment 2428245
Askari tunaopeleka ni kwa ajili ya kwenda kuwafunza Jeshi la Kongo jinsi ya Upiganaji na nidhamu ya Jeshi sio kama walivyo sasa Askari yuko Frontline amelewa chakari na ana simu mkononi anasikiliza miziki.Tanzania ina askari kupitia sadc na UN sidhani kama imekaa pembeni ka ulivyodai
Rwandair inavyokujaga Mwanza Kubeba samaki inakuaga imebeba Natural Resources za Rwanda kumbe?Cargo plane of rwanda arrived 24 NOV 2022,standby for exporting RWANDESE NATURAL RESOUCES AVAILS IN RWANDA
View attachment 2428245