Jeshi la Kenya dhidi ya M23: Je, Kenya itaweza kufanya kile ilichofanya Tanzania mwaka 2013?

Askari tunaopeleka ni kwa ajili ya kwenda kuwafunza Jeshi la Kongo jinsi ya Upiganaji na nidamu ya Jeshi sio kama walivyo sasa Askari yuko Frontline amelewa chakari na ana simu mkononi anasikiliza miziki.
Wale jamaa mambo wanayoyapenda Ni ya kukata mauno tu,mambo ya kijeshi wanalazimishwa tu πŸ˜„
 
Kenya inawamudu vizuri mno hao mamluki wa Rwanda..
Moronight walker mtu chake
 
Wale jamaa mambo wanayoyapenda Ni ya kukata mauno tu,mambo ya kijeshi wanalazimishwa tu πŸ˜„
Nimewaona Askari wa M23 wako well trained na wananidhamu ya hali ya juu na wana inteligence ya hali ya juu huenda hata kwenye hilo jeshi la Kongo wana "Batu" wao wanaowapa full information za Movement za Jeshi la Kongo na reinforcement zinazokujaπŸ˜†πŸ˜‚
 
Hii ndo itatumika kuingiza silaha,, Rwanda na uganda ni landlocked, wanategemea bandari ya dar au mombasa,, ikitokea wakawekewa vikwazo vya kuingiza silaha,,
Zitaingia kwa aircargo
πŸ˜„πŸ˜„ Silaha wanazopitishia kwny hizo Bandari Ni zile za kawaida tu, Rwanda silaha zao wanatumia dege la jeshi Qatar C-130 kusafirishia,hata kupeleka vifaa vya kijeshi Mozambique walitumia ndege hio,Drones zile za Turkey kuzileta kigali wametumia ndege za Uturuki,na last week flight radar24 imeonyesha ndege za kijeshi ya mizigo ya nchi ya Israel zimetua Kigali karibu Mara 4 nadhani Kuna silaha zimepelekwa pale.
 
Uganda aliwapa hifadhi waasi mwaka 2015, leo anakwenda kupambana nao aliowapa hifadhi, kwanini hakuwamaliza kipindi amewahifadhi? Au hili ni igizo?
Hili suala la M23 ni mchezo wa siasa za ukanda tu (geopolitics) ..ndio maana kuna wakati hali inatulia na baada ya muda inachafuka sana
 
Yule huwa ana mikwala tu,mkwala aliompiga jk na tz tungekua maboya tungenywea,tukafanya tuliyofanya na akaja kuyajenga na mkwere
PK anaijua Congo zaidi ya waijuavyo wacongo wenyewe. Kumbuka hao M23 washatumika katika nafasi tofauti tofauti tena nyeti kule Congo. Kwahiyo aliposema hivyo kwa Tshisekedi alikuwa anajua anachomaanisha, hii ni tofauti na ule mkwara wa Tanzania maana system ya Tanzania ni tofauti na system ya nchi nyingi za Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla. Ndio maana mpaka leo tupo salama.

Na kwa kulijua hilo JK alitamba kwa kuwaambia watanzania walale usingizi mnono na ikibidi hata waache milango wazi hadi asubuhi, hakuna panya yeyote atakaejaribu kuja kutushambulia iwe kwa upande wa Rwanda, Malawi wala Msumbiji.

Na kweli nchi nyingi za Afrika zinasema kuwa Tanzania iko strong kwa upande wa intelejensia hasa kuhusu swala la usalama wa mipaka.

Tanzania ni kama Marekani, viongozi wengi wa ukanda huo sisi ndio tumewaweka, hata hao wahutu wa Burundi kuwa leo katika serikali ni kwa sababu ya msaada mkubwa wa Tanzania, halikadhalika M7 na wengine ambao haina haja ya kuwataja.

So tunawafahamu ki nje ndani na tunajua ni jinsi gani ya kuwadhibiti pale wanapotaka kuleta kiburi.

Ila kwa upande wa Congo PK anafahamu hadi mahali anapoendaga kuoga Tshisekedi, na muda ambao huwa anakwenda kulala nk.
 
Vita tamu sana hii,kitakachoifanya ikose utamu wake Ni Marekani na Ulaya kuingilia kwa kutishia kuweka vikwazo na blah blah blah za ICC kwa M23& Supporters wake lkn nilitamani Sana kuona jinsi KDF wanavyokula kichapo kitamu mchana kweupe.
KDF inawamudu vizuri sana hao RDF wanaojiita M23.
MK254 T14 Armata
 

Guerilla War hakuna fundi wake, kwa sababu unapigana na watu wanaojificha kwenye raia
 
Sio kweli.....Alshabaab ni complicated na hatari ila Kenya imemudu muziki wao
 
Nimejaribu kuwafuatilia M23 sana nimegundua sio wale wa 2013 sasa hivi wana silaha Nzito na wako well organized nimeona wakishambulia possitions za Jeshi la DRC kwa Grad Missille launchers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…