Battle of El Adde Battle of El Adde - Google SearchSio kweli.....Alshabaab ni complicated na hatari ila Kenya imemudu muziki wao
😄😄 MONUSCO Mara ya mwisho walipewa kichapo na helcopter Yao ikatunguliwa wakasema Hawa jamaa wana silaha za kisasa na nidhamu Kama wanajeshi sio Kama waasi.Nimewaona Askari wa M23 wako well trained na wananidhamu ya hali ya juu na wana inteligence ya hali ya juu huenda hata kwenye hilo jeshi la Kongo wana "Batu" wao wanaowapa full information za Movement za Jeshi la Kongo na reinforcement zinazokuja😆😂
Vita kama hizo huwa zinamalizwa kwa kuingia eneo husika na kupiga wanaume wote risasi tuone mpiganaji gani atabaki.Guerilla War hakuna fundi wake, kwa sababu unapigana na watu wanaojificha kwenye raia
Hahaaaaa ati wakakimbia, yaani upige ambush kisha uzidiwe na kukimbia?😄😄 MONUSCO Mara ya mwisho walipewa kichapo na helcopter Yao ikatunguliwa wakasema Hawa jamaa wana silaha za kisasa na nidhamu Kama wanajeshi sio Kama waasi.
Kuna siku FARDC na MONUSCO waliwazunguka hao M23 kuwapiga ambush wakajua leo wamewaweza, ghafla hao jamaa wakajigawa kwny vikundi vidogo vidogo na vikundi hivyo vikiwa na command Yao hapo FARDC na MONUSCO wakala kichapo wakakimbia baada ya hapo boss wa MONUSCO akasema mbinu waliyoitumia Leo ya kujigawa vikundi vidogo kwny ambush na wakatoboa hio sio mbinu ya kundi la waasi Hawa jamaa wana mafunzo ya kijeshi 😄😄.
Tuko vizuri, Mzee ila tunahitaji Drones za masafa kama zile za kuturuki Bayractar TB 2 ambazo zinatufaa kwenye mpaka wetu na Msumbiji ili kusaidia kuwapiga wale Magaidi.PK anaijua Congo zaidi ya waijuavyo wacongo wenyewe. Kumbuka hao M23 washatumika katika nafasi tofauti tofauti tena nyeti kule Congo. Kwahiyo aliposema hivyo kwa Tshisekedi alikuwa anajua anachomaanisha, hii ni tofauti na ule mkwara wa Tanzania maana system ya Tanzania ni tofauti na system ya nchi nyingi za Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla. Ndio maana mpaka leo tupo salama.
Na kwa kulijua hilo JK alitamba kwa kuwaambia watanzania walale usingizi mnono na ikibidi hata waache milango wazi hadi asubuhi, hakuna panya yeyote atakaejaribu kuja kutushambulia iwe kwa upande wa Rwanda, Malawi wala Msumbiji.
Na kweli nchi nyingi za Afrika zinasema kuwa Tanzania iko strong kwa upande wa intelejensia hasa kuhusu swala la usalama wa mipaka.
Tanzania ni kama Marekani, viongozi wengi wa ukanda huo sisi ndio tumewaweka, hata hao wahutu wa Burundi kuwa leo katika serikali ni kwa sababu ya msaada mkubwa wa Tanzania, halikadhalika M7 na wengine ambao haina haja ya kuwataja.
So tunawafahamu ki nje ndani na tunajua ni jinsi gani ya kuwadhibiti pale wanapotaka kuleta kiburi.
Ila kwa upande wa Congo PK anafahamu hadi mahali anapoendaga kuoga Tshisekedi, na muda ambao huwa anakwenda kulala nk.
😄😄 Hivi FARDC unawajua mzee? Wale jamaa Wana vituko Sana hata jeshi la sungusungu la bongo linawatandika vibaya mno, MONUSCO wao wako pale kupiga per diem zao, Nani anataka kufa kwa ajili ya nchi nyingine afu aache pesa tamu ya UN?😄Hahaaaaa ati wakakimbia, yaani upige ambush kisha uzidiwe na kukimbia?
Kweli mkuu, Rwanda walipozinunua hizo drone za turkey 1st batch wakasema zitaenda kupiga magaidi huko Mozambique,afu hazijaenda Wala Nini wametulia nazo tu,wameagiza batch nyingine ya hizo drones tena.Tuko vizuri Mzee ila tunahitaji Drones za masafa kama zile za kuturuki Bayractar TB 2 ambazo zinatufaa kwenye mpaka wetu na Msumbiji ili kusaidia kuwapiga wale Magaidi.
Sahihi kabisaNimesoma comments za watu lakini naamini Nairobi ikidhamiria,M23 watachakazwa na watakikimbia maeneo yote iliyoyashikilia, tunza hii comment! Hakuna nchi makini itawashindwa waasi. Watakachobaki nacho ni kuvuzia lakini na kushambulia wakiwa mafichoni lakini siyo kama ilivyo sasa ambako wanashikiloa miji kabisa. Watafurushwa naamini hivyo. Cha msingi Kenya waongeze Military Intelligence na kujua katika hao M23 nani anawapa siri na je katika jeshi la Congo, na nchi jirani ni nani anawapa taarifa! Hilo likishafahamika, watachakazwa tu!
Vita kama hizo huwa zinamalizwa kwa kuingia eneo husika na kupiga wanaume wote risasi tuone mpiganaji gani atabaki.
Jeshi letu JWTZ linatakiwa liwe na hizo Drones za KiturukiKweli mkuu, Rwanda walipozinunua hizo drone za turkey 1st batch wakasema zitaenda kupiga magaidi huko Mozambique,afu hazijaenda Wala Nini wametulia nazo tu,wameagiza batch nyingine ya hizo drones tena.
Kati ya fdrl na jesh la drc nani mwenye uwezo kidogo kimapigano? Au wote hamna kituRaia wa Kongo wanasema fldr
aka "Inrerahamwe" inapigana bega kwa bega,na Jeshi la Kongo japokuwa Jeshi la Kongo limekanusha lakini mimi naamini ni kweli.
Linaweza likawa nazo na zaidi ya hizo mkuu,si unajua tena mambo ya kijeshi Ni siri.Jeshi letu JWTZ linatakiwa liwe na hizo Drones za Kituruki
Hiyo ilikuwa ambush na isitoshe Kdf mpaka wanashambuliwa tatizo ilikuwa kukosa intelligence ya kutosha....walijifunza makosa ndio maana mpaka leo hawajapata kadhia kama hiyo.Battle of El Adde Battle of El Adde - Google Search
Mpaka leo KDF inaficha idadi ya Askari waliouwawa kwenye Mapigano hayo.
Tucheki na China anakuwaga na Wing Loong na anazisupply bila milolongo mingiTuko vizuri Mzee ila tunahitaji Drones za masafa kama zile za kuturuki Bayractar TB 2 ambazo zinatufaa kwenye mpaka wetu na Msumbiji ili kusaidia kuwapiga wale Magaidi.
Kwa sasa M23 wana nguvu na mbinu za medani kuliko Jeshi la Kongo Jeshi la Kongo ni corrupt sana asilimia kubwa ya Silaha za M23 wanazichukua kutoka kwenye Jeshi la Kongo kimachofanyika M23 imawahonga maafisaa waamdamizi wa Jeshi la Kongo halafu wanaachiwa waziteke.Kati ya fdrl na jesh la drc nani mwenye uwezo kidogo kimapigano? Au wote hamna kitu
Hio mbona Ni dhahiri mzee,FARDC mambo ya kufa hawapendi walichokifanya wamewavalisha nguo za kijeshi Fdlr na waasi wa Nyatura kupigana na M23.Raia wa Kongo wanasema fldr
aka "Inrerahamwe" inapigana bega kwa bega,na Jeshi la Kongo japokuwa Jeshi la Kongo limekanusha lakini mimi naamini ni kweli.