Jeshi la Marekani linajiandaa kwa operesheni zinazoweza kuchukua wiki kadhaa nchini Iran

Sasa wewe shehe, ili ujue kuandika vizuri basi ukitoka madrasa unaenda na kwenye shule za elimu dunia kujifunza kuandika.
Mimi natumia mobile zaidi kuna wakati dole gumba linabonyeza sehemu ingine wakati na type.

Haswa nikiwa nawajibu makenge wakanisani
 
Swali gani ? Kwani haujui mtukufu wa daraja alikuwa ananyonya hadi nyume na vinywa vya wanaume wenzie mpaka shetani jibril analeta wahy na kusema 👉haiwi mtukufu wa daraja akunyonye mate kisha utupwe jehanamu
Lete ushahidi wa Qur'an ama hadith swahihi wa unachosema!??
Hivi ilikuaje hadi Yesu akabebwa na shetani!?
 
Marekani wana silaha za nyuklia kitambo. Wanajua wenzao wakiwa nazo pia ni hatari na hawatakuwa na nguvu ya kuanzisha vita kwasababu na wao (US) Watapigwa kama kawaida.

Muhuni wa kwanza dunia hii ni Marekani na ndiye mfadhili mkuu wa ugaidi. Iran anachofanya ni kumwaga mboga kwasababu marekani anamwaga ugali.
 
Marekani atakuwaje mfadhili mkubwa wa ugaidi duniani wakati magaidi wenyewe ni waislamu sasa kwa nini wakubali kufadhiliwa na kafiri kufanya uovu?

Ugaidi ni ibada kwa waarabu na ni mkakati wao wa kisasa wanaoutumia kueneza imani yao, zamani walitumia jambia na leo wanatumia ugaidi.
 
Ni yetu sisi bila wao.
Wastaarabu ambao wameanzisha vita za dunia?
Wastaarabu wanaolazimisha USHOGA NA USAGAJI KUTAMBULIKA KISHERIA??
Wastaarabu waliokaa chini na kugawana Afrika ili waitawale kikoloni??
Wastaarabu ambao wamefanya mauaji kisa kudhamini uchimbaji haramu wa madini Congo DR na nchi zingine za Afrika!??
Wastaarabu ambao hufanyia majaribio ya silaha za maangamizi nchi za watu!??

Basi utakua umechanganyikiwa wewe na hao unaowafuata kuwa wastaarabu.
 
Wacha kuropoka maana hakutakusaidia.
ISIS wengi mule wakristo na mamluki wa nje kuliko waarabu.
Marekani anaunda vikundi ili vipigane kwa maslahi yake baadae vikimgeuka anavipachika jina la magaidi. Al qaeda,IS,Taleban vyote vimeundwa kwa pesa ya USA. Ila walipomgeuka na kutaka kushika wao madaraka akawapa jina la magaidi.

Unasema ni mkakati wa kueneza uislam,Je Lebanon wakristo wangesalia ilhali kundi lenye nguvu ni la kiislam la Hizbollah??
Hujui kama Lebanon rais lazima awe mkristo??
Kama ingekua tunapinga dini zingine Hizbollah wangekubali!?
Palestina,Syria na Jordan kuna makanisa ya umri wa miaka 300 hadi 600 na yanatunzwa.
Si waislam wangeyabomoa!??

UWE NA HAYA WAKATI MWINGINE KUONGEA UONGO. NAFSI PIA IKUSUTE.
 
Hakuna serikali inayoshinikiza ushoga duniani bali hayo ni mambo ya watu binafsi sawa na kwamba hakuna nchi yoyote ya kiarabu inayoshinikiza ubakaji wa watoto wadogo.
 
Hakuna serikali inayoshinikiza ushoga duniani bali hayo ni mambo ya watu binafsi sawa na kwamba hakuna nchi yoyote ya kiarabu inayoshinikiza ubakaji wa watoto wadogo.
Usijitoe akili kijana.
David Cameron waziri mkuu wa zamani wa Uingereza nyakati za miaka ya 2010 alishinikiza kutambulika ushoga na walitishia kutokutoa misaada kwa nchi zitakazopinga.
Huko uarabuni unaposemea ukikutwa na kesi ya kubaka mtoto ni hukumu ya kunyongwa.
Obama alikuja akashinikiza ushoga kasoro Trump ila alipoingia Biden akashinikiza vile vile hadi nyumba za ibada makanisani na misikitini watambue mahusiano ya jinsia moja.
Unaongea na mtu anaejitambua be careful and very keen.
 
Upo sahihi kabisa.
 
Ni lini hao waarabu wamekuja kutambua kwamba ubakaji ni kosa.
 
Hiyo ni Isis ya wapi yenye wakristo au wewe unajifanya huijui Isis. Ni kweli kabisa kwamba sio kila muislam ni gaidi ila kila gaidi ni muislamu na hilo wala halina ubishi na anayebisha ni kwa kibri chake tu.
 
Mbona Zanzibar kuna ma gay ya kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…