Jeshi la Polisi: Bado tunamsubiri Tundu Lissu na dereva wake ili kufanya uchunguzi

Bora umemlipua maana watu wengine hawajielewi kabisa wana mahaba kwa chama chao wakati huo huo hawana mahaba kwa wananchi wa Tanzania.
 
Pale niliposikia kua gari lililowabeba washambuliaji limeteketezwa lote, harafu kimya...... Nikajua ni nani wahusika wakuu! Hawa hawa Mana kwa kutumia akili ya kuvukia barabara, kushoto/kulia kiongozi wa kanda huwa anatuma salam au majigambo kwenye Tv,radio kuwa watapatikana, watasakwa, lakini kimyaaa...! Sasa siitaji kutumia akili ya kidato cha IV,
 
Wamenywesha maji ya bendera ya chama hao wakajitoa ufahamu.
 
Dereva lazima akamatwe na ahojiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…