Jeshi la Polisi kuchunguza Askari anayedaiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Jeshi la Polisi kuchunguza Askari anayedaiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Kamishna kasema kwenye video askari alifanya hayo akiwa hajavaa sare za jeshi kwa hiyo hayo ni mambo yake binafsi lisihusishwe jeshi,

Ameongezea pia wengine wenye tabia hizo wajitokeze lengo sio kufukuzwa kazi bali kusaidiwa waache sababu huenda walifanyiwa hayo wakiwa wadogo na hadi sasa wanaendelea kujizuru.
... kumbe serikali inatambua haya mambo ni mambo binafsi! Hili janga litatokomezwa nchini kweli? Ni as if serikali imelikubali sisi tunaishia kupiga kelele tu.
 
Kuna zile nchi huwa zinasupport vitu kama hivi wasije tu kuingilia kati.
 
Sasa poliisi wanashindwa nini kukanusha hakuna kitu kama hicho bali ni picha ya kuedit tu? Yaani polisi inakubali askari wake alidhalilishe jeshi lao kirahisi hivyo? Wakamalizane naye waje na ripoti mpya
 
Kuhusu namna ya kuwatambua wenye tabia hiyo, alisema taratibu za polisi wakati wa kuajiri hazihusishi utambuzi wa tabia za ushoga kwa mwajiriwa bali hupimwa afya zao kwa ujumla.

Hakupitia JKT huyu mshkaji?! Kama alipitia kule si huwa wanapigwa tochi kukaguliwa rasa?? Alipitaje alipitaje mpaka kufikia hatua ya kuajiriwa kabisa?!
 
Kumbe hajafukuzwa kazi?
IMG-20230302-WA0013.jpg

Alishafukuzwa sasa sijui haya yanatokea wapi
 
Wakimaliza kwa jeshi la polisi wahamie kwa ma lecturers wengi wao wanakula wanafunzi wao wa kiume na wengine wanaliwa
 
Kamishna Hamad alitaja sababu tatu za kutokukubaliana na tendo hilo ndani ya polisi; kinyume cha sheria, maadili na linalomwondolea ukakamavu askari.

Kutokana na mkasa huo, Kamishna Hamad aliyeonekana kukereka nalo, aliiambia Nipashe kwamba ofisi yake ina mpango maalum wa kuwasaka askari wake wote wenye hulka na kujihusisha na matendo ya aina hiyo.

"Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa kadhia hiyo ikiwamo kufanyiwa kipimo askari huyo ili kujiridhisha kama kweli anafanya kitendo hicho... ingawa tumeona video katika mitandao ya kijamii lakini hatuwezi kusema moja kwa moja kama ni kweli au sio kweli," alifafanua.

Alisisitiza kwamba, kanuni na mwenendo wa kisheria za jeshi hilo haziruhusu mapenzi ya jinsia moja, na madai hayo yakithibitika, atafikishwa kwenye mahakama ya kijeshi na hatua nyinginezo.

Kamishna Hamad alisema askari anapokuwa shoga, hukosa uaminifu na ukakamavu katika jukumu lake la msingi la kulinda raia na mali zao.

"Hatufai na atashindwa kufanya kazi za polisi, na hata heshima kwa jamii haitakuwapo. Kama unamtuma askari polisi wa aina hii akamkamate mhalifu, akifika huko anaweza hata akaguswa (...). Sasa heshima iko wapi kwa Jeshi la Polisi?" alilalamika katika kauli ya kukereka.

Aliendelea: "Huu si utamaduni wa Jeshi la Polisi na wala hakutumwa hivyo. Matendo ya mtu binafsi lazima yatafautishwe na taasisi.

"Hata hizo picha zinazosambaa hazionyeshi kuwa amevaa sare za polisi au kufanya kitendo hicho kwenye kituo cha polisi, hivyo isitafsiriwe kuwa Jeshi la Polisi ndio limefanya."


Akizungumzia mikakati ya jeshi hilo katika kukomesha ushoga ndani ya Polisi Zanzibar, Kamishna Hamad aliwataka askari wote wenye mwenendo wa aina hiyo, wajisalimishe kwenye uongozi ili warekebishwe waendane na utamaduni wa jeshi hilo.

"Lengo sio kuwafukuza kazi, bali ni kuwarekebisha, kwa sababu huwezi kujua anafanya vitendo hivyo kwa sababu gani. Inawezekana alishafanyiwa kitendo hicho tokea utotoni na hawezi kujitetea na anaendelea kujizuru," alifafanua.

Kuhusu namna ya kuwatambua wenye tabia hiyo, alisema taratibu za polisi wakati wa kuajiri hazihusishi utambuzi wa tabia za ushoga kwa mwajiriwa bali hupimwa afya zao kwa ujumla.

Pia alisema Jeshi la Polisi lina taratibu na sheria zake ambazo zimeainisha makosa yote ambayo askari wa jeshi hilo hapaswi kufanya pamoja na hukumu zake endapo atafanya makosa hayo.

"Humu ndani ya kitabu hiki (sheria za polisi) kuna utaratibu mzima wa jeshi umewekwa. Kwa hivyo, askari anayefanya makosa ambayo yameainishwa humu ikiwamo hayo ya kufanya mapenzi ya jinsia moja, kuna mahakama za kijeshi na hukumu zimewekwa," alisema


Chanzo: Nipashe

---

Kwa jinsi alivyoifedhehesha Jamhuri leo asubuhi mlitakiwa mtupe ukweli

Pia soma
- Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?
Ni maigizo; ni tukio la kutengeneza; watu wako kwenye kazi zao Serikali inabidi ichukue hatua kali sana kukomesha matukio haya; ni mengi mno, yamezidi mno
 
Eti wengine wajisalimishe tuwalekebishe ivi shoga anaweza kuacha tabia ya kichoko kirahisi kweli[emoji35][emoji35][emoji35]
 
Ila yule jamaa inaonekana ndo michezo yake muda mrefu, Wazanzibar wengi wake kwa waume huliwa nyuma
Yule mzoefu maama vidio tatu tofauti ana shida yule
Mshenzi mshenzi tu Yaani sijui hata anajiskiaje dahh
 
Back
Top Bottom