Jeshi la Polisi lakana kuhusika kutekwa kwa msanii Roma Mkatoliki

Nashangaa upumbavu wa baadhi ya watz hasa wa jf,
Watu hasa wapinzani mnafanya matukio alafu mnaanza habar za kutupa lawama kwa serikali
 
usalama wa wananchi upo wapi.na hii tabia ya kuchukuwaa watu bila taarifa za ndugu na jamaa .si ngeni kwa mtindo huu.je wajibu wetu kama raia kujua sheria.
huyu ni roma leo kila mtu anataka kujua.je makapuku kama sisi..?

Subir wauza unga wanaanza kazi ila tutawamaliza wote na kundi lao
 
Ni hatar sana!
Sio mda dogodogo wakiisha watahamia kwa wabunge, madiwani na wenyevit wa mitaa!
 
Subirini kuokota maiti kwenye viroba mto ruvu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kati yako wewe na yeye ni nani katukana?
Wote tumetukana, but I have a cause to do so! Nalipa deni. Tunahimizwa kulipa madeni yetu!
 
simu yake ipo online whatsapp na ikipigiwa inaita..
ile technologia inayotumika kuwakamata wanaowatukana viongozi si itumike kutrack yuko wapi??
au hako ka technologia ni kwaajili ya kuwalinda wakubwa tu
Ushauri wako ni mzuri mkuu. Lakini elewa ili akamatwe mtu lazima awe anaitumia hiyo cm. Kama imetelekezwa tu huwezi kumkamata mtu.
 
Kama Ney wa mitego asipost kuwa kakamatwa na Polisi na yeye angepotezwa kama Ben Saa 8.
 
Ngoja nipite kusoma comments tu ukichangia tofauti na mawazo yao utaoga matusi bure.
 
Sasa wewe unataka wasemeje iwapo kama hawajawachukua. Mbona chama mfu wana vikundi vya ugaidi na utekaji
Mwambieni huyo Bosi wenu, Kesho kabla jua halijazama, ROMA awe ameshaachiwa huru, La sivyo wananchi tutajua cha kumfanya!
 
Sasa wewe unataka wasemeje iwapo kama hawajawachukua. Mbona chama mfu wana vikundi vya ugaidi na utekaji
ni wajibubwa polisi kulinda usalama wetu
inabidi watupe taarifa inayoeleweka sio mpaka mtu mwenye taarifa ndo aktoe
wanavowakamataga wasanii wanaotunga nyimbo za kuikashfu serkali nan hua ana wapa taarifa??
 
ni wajibubwa polisi kulinda usalama wetu
inabidi watupe taarifa inayoeleweka sio mpaka mtu mwenye taarifa ndo aktoe
wanavowakamataga wasanii wanaotunga nyimbo za kuikashfu serkali nan hua ana wapa taarifa??
Ni wajibu wa rais kuwa na adabu!
 
Watu wakijiuliza maswali kama hayo huenda tutajua mapema kilichowapata. Lakini nionavyo wamekwisha fanya hitimisho hasa upande wa kisiasa wamekwisha amua kulaumu vyombo vya usalama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…