Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya #77Nyeupe kudai Tume Huru ya Uchaguzi

Wabongo tulivyo kuwa waoga sijaona wakuandamana ..labda tuandamane tukiwa bafuni
 
Mkuu umeona bandiko la kafulila nimekuita kule? Au tag haijakupata.
 
7/7 ni siku ya mapumziko, Maandamano ni haki ya kikatiba, Fatma Karume na Maria Sarungi hawajaema maanddamano ila kudai tume huru ya Uchaguzi.
Policcm mnatia aibu, mnatakiwa kulinda watu na mali zao si kugawa watu na mali zao.
 
Hongera Mambo sasa kwa Kukionya kikundi cha wahuni wachache
wewe ni "mpumbavu" yaani mtu ambaye amefika kikome cha kuelewa.
Kwani KATIB inakataza maandamano?
KATIBA inakataza kudai tume huru kwa njia halali?
Ushamaba wako ndio hapo ulipo unaishi sebuleni kwa shemeji yako,
 
Mleta mada sasa unatetemeka nini? yani unaogopa mpaka rangi nyeupe?!
 
Mda si mrefu JWTz itachukuwa uwamuzi kama wa Malawi Army. Utawatawanya police wote na kuwatia mahabusu then wananchi wawe huru kutoka ccm
 
Nimetoka leo natembea tembea nilisikia habari kwamba Vyama vya upinzani leo watavaa nguo nyeupe kuashiria kudai tume huru.

Lakini mtaani sioni kitu kama hicho sijaona yoyote yule aliyavaa nyeupe au chochote kile.

Walisema hawatoandamana wala kuingia mtaani bali watatoka tu wamevaa nyeupe kuashiria mioyo yao inaishi katika kudai tume huru.

Lakini mtaani sioni chochote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa hali hii mtawezana mweli kwenye kudai haki?
 
Kwanini uwaachie wapinzani Tu kudai haki ya wanao na wajukuu zako ?!. WaTz tumerogwa mahali fulani si bure !!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…