Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya #77Nyeupe kudai Tume Huru ya Uchaguzi

Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya #77Nyeupe kudai Tume Huru ya Uchaguzi

Wabongo tulivyo kuwa waoga sijaona wakuandamana ..labda tuandamane tukiwa bafuni
 
Mbunge mmoja? Nafikiri fanya utafiti ujue kuna irrigation schemes ngapi na zimecover eneo la ukubwa gani? Pia tafuta data za WB uone zilivyoleta tija kwenye kilimo hapa Tanzania.
Tanzani ni nchi ambayo inakuwa kiuchumi kusema kwa mara moja kila mkulima atatumia tractor inawezekana? Na hata kusambaza hizo schemes lazima utekelezaji uwe wa mara moja? Maendeleo ni hatua hayaji kwa mara moja.
Hiyo export levy ilipelekwa hazina kwa manufaa ya hao hao watu wa huko. Kwa nini wasichague wabunge wa Ccm!
Mkuu umeona bandiko la kafulila nimekuita kule? Au tag haijakupata.
 
Taaaabasam
20200706_173120.jpg
 
ONYO KUHUSU MAANDAMANO YANAYOHAMASISHWA KUPITIA MITANDAO YA KIJAMII

View attachment 1498960

Jeshi la Polisi kanda Maalum Dar es salaam linatoa onyo kali kwa kikundi au mtu yeyote atakayeshiriki maandamano hayo batili tarehe 07/07/2020 kwa madai ya kudai Tume huru ya uchaguzi waaache mara moja vinginevyo watashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.

LAZARO B. MAMBOSASA- SACP KAMANDA WA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAM.

06/07/2020
7/7 ni siku ya mapumziko, Maandamano ni haki ya kikatiba, Fatma Karume na Maria Sarungi hawajaema maanddamano ila kudai tume huru ya Uchaguzi.
Policcm mnatia aibu, mnatakiwa kulinda watu na mali zao si kugawa watu na mali zao.
 
Hongera Mambo sasa kwa Kukionya kikundi cha wahuni wachache
wewe ni "mpumbavu" yaani mtu ambaye amefika kikome cha kuelewa.
Kwani KATIB inakataza maandamano?
KATIBA inakataza kudai tume huru kwa njia halali?
Ushamaba wako ndio hapo ulipo unaishi sebuleni kwa shemeji yako,
 
Mleta mada sasa unatetemeka nini? yani unaogopa mpaka rangi nyeupe?!
 
ONYO KUHUSU MAANDAMANO YANAYOHAMASISHWA KUPITIA MITANDAO YA KIJAMII

View attachment 1498960

Jeshi la Polisi kanda Maalum Dar es salaam linatoa onyo kali kwa kikundi au mtu yeyote atakayeshiriki maandamano hayo batili tarehe 07/07/2020 kwa madai ya kudai Tume huru ya uchaguzi waaache mara moja vinginevyo watashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.

LAZARO B. MAMBOSASA- SACP KAMANDA WA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAM.

06/07/2020
Mda si mrefu JWTz itachukuwa uwamuzi kama wa Malawi Army. Utawatawanya police wote na kuwatia mahabusu then wananchi wawe huru kutoka ccm
 
Nimetoka leo natembea tembea nilisikia habari kwamba Vyama vya upinzani leo watavaa nguo nyeupe kuashiria kudai tume huru.

Lakini mtaani sioni kitu kama hicho sijaona yoyote yule aliyavaa nyeupe au chochote kile.

Walisema hawatoandamana wala kuingia mtaani bali watatoka tu wamevaa nyeupe kuashiria mioyo yao inaishi katika kudai tume huru.

Lakini mtaani sioni chochote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa hali hii mtawezana mweli kwenye kudai haki?
 
Nimetoka leo natembea tembea nilisikia habari kwamba Vyama vya upinzani leo watavaa nguo nyeupe kuashiria kudai tume huru

Lakini mtaani sioni kitu kama hicho sijaona yoyote yule aliyavaa nyeupe au chochote kile

Walisema hawatoandamana wala kuingia mtaani bali watatoka tu wamevaa nyeupe kuashiria mioyo yao inaishi katika kudai tume huru

Lakini mtaani sioni chochote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa hali hii mtawezana mweli kwenye kudai haki?
Kwanini uwaachie wapinzani Tu kudai haki ya wanao na wajukuu zako ?!. WaTz tumerogwa mahali fulani si bure !!.
 
Back
Top Bottom