Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) latoa ufafanuzi kuhusu yanayoendelea mtandaoni

"Aidha, baadhi ya hoja hizo zinatolewa na watu waliopo katika mazingira ya kijeshi, kujinasibisha na Jeshi, walioachishwa Jeshi kwa tabia na mwenendo mbaya pamoja na kujihusisha na siasa na uanaharakati."

Sasa mngetuambia afande tesha ni katika kundi lipi? Ni anajinasibisha na jeshi ama bado mjeda, ama alishaachishwa jeshi. Leteni habari kamili

Mugambo wanaruka na kukanyagana
 
Ni aibu sana kwa Samia kuifikisha nchi huku. Hatukuwahi kufikiria tutafikia kwenye haya mambo ya jeshi. Aibu zao wote wana mtandao. Sasa Bi Mkubwa si aachie kiti tu, kwa nini anatung’ang’ania? Yani hafikirii mpaka tunafika huku ni kwa sababu yake!! Nchi imemshinda jamani. Wenye kuweza kuokoa yanayokuja kulitia doa taifa waokoe, ila tunakokwenda siko.
 
Rombo imebezwa sanaa ila inaenda kutoa shujaa wa taifa
 
lucas oct 29 mkyundu wako ni mali yangu nimeshawai mapema asiniingilie mtu
 
Hamna kitu hapo..
Tunamsubiri Samia mwenyewe ajibu, yeye si mkali wa kujibu kwa kejeli...
Tunataka amjibu kwa kejeli pia huyo Captain Tesha..

Hapo wanamtandao wanajiharishia wengine wana andaa passport kukimbia nchi.
Machawa wanasema barua ni ya aiyai Hahaha.

Magogoni kunachemka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…