britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Hii mdiyo style ya vita ya Russia, hana askari wa kuweza kupambana na adui, hana intelligence ya kuweza ku locate adui walipo, jana jeshi wa strategy ya kuweza kudhibi maeneo anayokua amefanikiwa kuingia (maana hata kuteka hawezi), ma tumeona jinsi jeshi la Russia lilivyokuwa limetapakaa kote nchini Ukraine lakini maeneo yote sasa hivi yameshakamatwa na Ukranians.
Anachojua Russia ni kurusha makombora kwenye kila majengo wanayoyaona
Russia bila Nyuklia ni wa kawaida sana
Hivi mnaikumbuka ile vita ya Syria jinsi Russia alivyoibomoa bomoa hovyo Allepo?👇👇
Vita ingekua it's all about kubomoa majengo basi ingekuwa nyepesi sana, Russia badala ya ku train askari wake waweze kupigana vita za sina zote, yeye amewekeza zaidi kujenga machuma chuma ya kubomolea majengo huku sskari wake wakikosa mafunzo ya mbinu bora za mapigano.
Seems hakuna chochote ambscho Rusdia alijifunza pale Allepo, ili kuboresha jeshi lake, maana hata hii vita ya Ukraine wanatumia play book ile ile, no any advancement.
Kuonyesha kuwa Jeshi lake halina mbinu mpya wala mafunzo, ni miaka zaidi ya 6 tangu aibomoe Alepo, then bado ksja na mbinu ile ile, more worse.
Jeshi lao hakina succession pkan, kiongozi yuleyule aliyeongoza vita na mashambulizi kule Alepo, Aleksandr Dvornikov ndiye huyu huyu Putin amemteua majuzi kuongoza vita nchini Ukraine, ana miaka 60 sasa and Putin ansona he can't afford to let him go and Russia can't fught without him huku wale majeneral wake 9 wakiuawa kwenye battle ground nchini Ukraine. This explains a lot
Jeshi inabidi kufuata weledi siyo kurusha tu kuharibu hata pasipo sababu
Fanyeni Kama USA Kwa Iraq, Au Yemen Au Vietnam, anataftwa adui tu Kwa hesabu kubwa.
Russia wao waoga wanarusha tu bila heaabu
Britanicca