Jeshi la Urusi ni dhaifu sana, ni dhaifu mno

Niko zangu uswahilini tu mkuu sina hata ramani lakini hilo halibadilishi nilichoandika if Russia was such powerful kama alivyotuaminisha then why nchi ndogo tu inamsumbua hivyo...

Walikua wanatuzuga tu na maonyesho yao ya machuma na maneno kibao... Ngoma uko ulingoni nw wanambwela mbwela tu

Okey,, iraq ilivamiwa na nchi ngapi? Na ikachukua muda gani, na mpaka leo nchi haijatulia!

Libya ilivamiwa na nchi ngapi?? Na ikawachukua muda gani??

Syria ilivamiwa na nchi ngapi?? Na ikaenda muda gani bila mafanikio?

Russia yupo alone bila msaada wa mtu, na pale ameenda kwa operation maalum,,na sio kuuwa watu hovyo kama wafanyavyo marekani na mashoga zake.
 
View attachment 2200092

Hii mdiyo style ya vita ya Russia, hana askari wa kuweza kupambana na adui, hana intelligence ya kuweza ku locate adui walipo, jana jeshi wa strategy ya kuweza kudhibi maeneo anayokua amefanikiwa kuingia (maana hata kuteka hawezi), ma tumeona jinsi jeshi la Russia lilivyokuwa limetapakaa kote nchini Ukraine lakini maeneo yote sasa hivi yameshakamatwa na Ukranians.
Anachojua Russia ni kurusha makombora kwenye kila majengo wanayoyaona

Russia bila Nyuklia ni wa kawaida sana

Hivi mnaikumbuka ile vita ya Syria jinsi Russia alivyoibomoa bomoa hovyo Allepo?[emoji116][emoji116]

View attachment 2200095View attachment 2200096View attachment 2200097

View attachment 2200092

Vita ingekua it's all about kubomoa majengo basi ingekuwa nyepesi sana, Russia badala ya ku train askari wake waweze kupigana vita za sina zote, yeye amewekeza zaidi kujenga machuma chuma ya kubomolea majengo huku sskari wake wakikosa mafunzo ya mbinu bora za mapigano.

Seems hakuna chochote ambscho Rusdia alijifunza pale Allepo, ili kuboresha jeshi lake, maana hata hii vita ya Ukraine wanatumia play book ile ile, no any advancement.
Kuonyesha kuwa Jeshi lake halina mbinu mpya wala mafunzo, ni miaka zaidi ya 6 tangu aibomoe Alepo, then bado ksja na mbinu ile ile, more worse, Jeshi lao hakina succession pkan, kiongozi yuleyule aliyeongoza vita na mashambulizi kule Alepo, Aleksandr Dvornikov ndiye huyu huyu Putin amemteua majuzi kuongoza vita nchini Ukraine, ana miaka 60 sasa and Putin ansona he can't afford to let him go and Russia can't fught without him huku wale majeneral wake 9 wakiuawa kwenye battle ground nchini Ukraine. This explains a lot

Jeshi inabidi kufuata weledi siyo kurusha tu kuharibu hata pasipo sababu

Fanyeni Kama USA Kwa Iraq, Au Yemen Au Vietnam, anataftwa adui tu Kwa hesabu kubwa.

Russia wao waoga wanarusha tu bila heaabu

Britanicca
Russia ni Kama hamasi wao wanajua kurusha makombora.ndio maana anapiga makombora mpaka shule za chekechea.
 
Okey,, iraq ilivamiwa na nchi ngapi? Na ikachukua muda gani, na mpaka leo nchi haijatulia!

Libya ilivamiwa na nchi ngapi?? Na ikawachukua muda gani??

Syria ilivamiwa na nchi ngapi?? Na ikaenda muda gani bila mafanikio?

Russia yupo alone bila msaada wa mtu, na pale ameenda kwa operation maalum,,na sio kuuwa watu hovyo kama wafanyavyo marekani na mashoga zake.
Haya ngoja tuwape muda
 
View attachment 2200092

Hii mdiyo style ya vita ya Russia, hana askari wa kuweza kupambana na adui, hana intelligence ya kuweza ku locate adui walipo, jana jeshi wa strategy ya kuweza kudhibi maeneo anayokua amefanikiwa kuingia (maana hata kuteka hawezi), ma tumeona jinsi jeshi la Russia lilivyokuwa limetapakaa kote nchini Ukraine lakini maeneo yote sasa hivi yameshakamatwa na Ukranians.
Anachojua Russia ni kurusha makombora kwenye kila majengo wanayoyaona

Russia bila Nyuklia ni wa kawaida sana

Hivi mnaikumbuka ile vita ya Syria jinsi Russia alivyoibomoa bomoa hovyo Allepo?👇👇

View attachment 2200095View attachment 2200096View attachment 2200097

View attachment 2200092

Vita ingekua it's all about kubomoa majengo basi ingekuwa nyepesi sana, Russia badala ya ku train askari wake waweze kupigana vita za sina zote, yeye amewekeza zaidi kujenga machuma chuma ya kubomolea majengo huku sskari wake wakikosa mafunzo ya mbinu bora za mapigano.

Seems hakuna chochote ambscho Rusdia alijifunza pale Allepo, ili kuboresha jeshi lake, maana hata hii vita ya Ukraine wanatumia play book ile ile, no any advancement.
Kuonyesha kuwa Jeshi lake halina mbinu mpya wala mafunzo, ni miaka zaidi ya 6 tangu aibomoe Alepo, then bado ksja na mbinu ile ile, more worse, Jeshi lao hakina succession pkan, kiongozi yuleyule aliyeongoza vita na mashambulizi kule Alepo, Aleksandr Dvornikov ndiye huyu huyu Putin amemteua majuzi kuongoza vita nchini Ukraine, ana miaka 60 sasa and Putin ansona he can't afford to let him go and Russia can't fught without him huku wale majeneral wake 9 wakiuawa kwenye battle ground nchini Ukraine. This explains a lot

Jeshi inabidi kufuata weledi siyo kurusha tu kuharibu hata pasipo sababu

Fanyeni Kama USA Kwa Iraq, Au Yemen Au Vietnam, anataftwa adui tu Kwa hesabu kubwa.

Russia wao waoga wanarusha tu bila heaabu

Britanicca
Hana tofauti na N.Korea ndio maana mda wote anategemea hiyo nukes kujihami 😆😆

Screenshot_20220426-072141.png

Screenshot_20220426-071909.png

Screenshot_20220426-071217.png
 
Unakumbuka Ukraine ametrein raia kupigana?sasa hadi askari wa Russia wanajificha kwa raia na kufanya mashambulizi ya ghafla hapo unategea nini?

Wale askari 2000 wa Ukraine waliojifungia pamoja na raia kwenye kiwanda cha Chuma unawazungumziaje?

Since they use human shields wapigwe tu.

Na wewe acha kulialia kaa kwa kutulia si ulisema walikomboa miji flan?
huna akili na hujui kuwa ww ni tailaaa , mwanume timamu haeza shabikia uvamizi
 
Vita haina macho! Ukiona hivyo ujue Maadui wanakuwa wamejificha kwenye majumba na silaha zao! Kinachobaki inakuwa kubomoa majumba.
Mkuu Mji wa Mariopol umeangukia mikononi mwa Majeshi ya Russia.
Wale askari hatari (Azov) wa Ukraine pamoja na Mamluki kutoka nchi za Magharibi wamenaswa kwenye kiwanda cha chuma.
adui ni nan alivamia au aliyevamiwa ?
 
View attachment 2200092

Hii mdiyo style ya vita ya Russia, hana askari wa kuweza kupambana na adui, hana intelligence ya kuweza ku locate adui walipo, jana jeshi wa strategy ya kuweza kudhibi maeneo anayokua amefanikiwa kuingia (maana hata kuteka hawezi), ma tumeona jinsi jeshi la Russia lilivyokuwa limetapakaa kote nchini Ukraine lakini maeneo yote sasa hivi yameshakamatwa na Ukranians.

Anachojua Russia ni kurusha makombora kwenye kila majengo wanayoyaona

Russia bila Nyuklia ni wa kawaida sana

Hivi mnaikumbuka ile vita ya Syria jinsi Russia alivyoibomoa bomoa hovyo Allepo?👇👇

View attachment 2200095View attachment 2200096View attachment 2200097
View attachment 2200092

Vita ingekua it's all about kubomoa majengo basi ingekuwa nyepesi sana, Russia badala ya ku train askari wake waweze kupigana vita za sina zote, yeye amewekeza zaidi kujenga machuma chuma ya kubomolea majengo huku sskari wake wakikosa mafunzo ya mbinu bora za mapigano.

Seems hakuna chochote ambscho Rusdia alijifunza pale Allepo, ili kuboresha jeshi lake, maana hata hii vita ya Ukraine wanatumia play book ile ile, no any advancement.

Kuonyesha kuwa Jeshi lake halina mbinu mpya wala mafunzo, ni miaka zaidi ya 6 tangu aibomoe Alepo, then bado ksja na mbinu ile ile, more worse.

Jeshi lao hakina succession pkan, kiongozi yuleyule aliyeongoza vita na mashambulizi kule Alepo, Aleksandr Dvornikov ndiye huyu huyu Putin amemteua majuzi kuongoza vita nchini Ukraine, ana miaka 60 sasa and Putin ansona he can't afford to let him go and Russia can't fught without him huku wale majeneral wake 9 wakiuawa kwenye battle ground nchini Ukraine. This explains a lot

Jeshi inabidi kufuata weledi siyo kurusha tu kuharibu hata pasipo sababu

Fanyeni Kama USA Kwa Iraq, Au Yemen Au Vietnam, anataftwa adui tu Kwa hesabu kubwa.

Russia wao waoga wanarusha tu bila heaabu

Britanicca
Ndio mana Finland na Sweden wakaona muda ni sasa wa kujiunga na NATO baada ya kuona huu udhaifu wa Russia kwa nchi kama Ukrean, kabla Finland na Sweden walimuogopa Russia kama mdudu na wakati operation inaanza kule Ukrean Putin aliwaonya na finland wakasema hawana kabisa mpango wa NATO lakin juzi juzi wamesema hapana tunajiunga na NATO tena bunge lao sasa linajadili kujiunga na NATO asilimia kubwa wamekubali mpango
 
Jichanganye ukutane na m-russia, wana nguvu zaid ya unavyofikiria, pia wamepitia mafunzo ya kila namna, ila wao wanachofanya pia ni kukutia hasara na kupoteza taswira ya miji.
Nguvu ya m-russia ni ipi sasa mwezi wa 2 umekatika bado anapapatua donbas pembeni mwa ukrean na karibu anaelekea kufurushwa kabisa kabisa
 
Watu mna muda...

Yaan mtu anakupiga kila sehemu katika nchi yako bado unamuona dhaifu?

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Ameuwa raia sana lakini vita strategically russia ametupwa mbali sana, mimi nikiisikia russia apo zamani niliwaza kuwa itakuwa na nguvu kuliko Marekani, lakini ni tofauti sana

Alipoivamia ukraine akatangaza majimbo ya Donbas kuwa huru halafu akaenda zake mbele Kyiv, ghafla sijuwi kapatwa na nini Kyiv ilimshinda karudia kule kule Donbas ambako saivi ndio anarusha mabomu ya mbali kuangusha majumba yaani tunapata shida sana kujua lengo la russia ni lipi lakini ni lipi amefanikiwa hadi sasa mwezi wa 2 unaingia wa 3.,
 
Wasamehe wanajeshi wa Urusi, sababu vifaa vyao vina tatizo la Teknolojia. Ni kwamba Vifaa vingi vya Urusi havina shabaha. Wanaweza kusema hili bomu litue bunju, likatua Goba. Ndo maana Katikati ya nchi Ukraine walikimbia. Waliona wanakufa wao tu. Sasa wameleta wanajeshi wa Kukodi

2. Wanajeshi wa Urusi hawana Uchungu na hii vita bali wanatii amri ya kijeshi matakwa ya Putin hivyo wakina wanazidiwa wanaondoka zao hata kabla adui hajafika. Hawa wa kukodia wao wapo Vitani sababu kila siku hela inaingia hivyo wanapiga makombora Ovyo ovyo ilimradi waonekane wapo kazini. Wanasema Ukraine tumewachakaza kumbe wamechakaz majengo. Kila Mtu wa Ukraine mwenye Nyumba ana Handaki chini ya nyumba, Ndo maana hapo wamebomoa nyumba zote hizo wakafa Waukraine nane tu
 
😂😂😂😂
Sijui unaongea vitu gani, ila sio mbaya, umefanikiwa kuiponda Urusi, jukwaa huru hili.
 
sasa kama mnapigana kwa kujificha kwenye majengo yeye afanyeje kama sio kuyashusha majengo chini kama huko Allepo
 
Duh kumbe Russia Ni dhaifuuu?
Nchi inayoogopwa na Marekani kuliko nchi zote duniani?
Nb. Tafuta picha za Baghdad ya 2003 ya sadam. Na pia baadae tafuta picha za Baghdad baada ya 2003. Ndo utajua Kwamba adui atafutwapo haijalishi kasimama kwenye Mali ya thamani kiasi gani. Na ndo maana hata waukren wangepata nafasi wangeiflatisha Moscow ili tu kumtafuta Putin. Wazi?
 
Back
Top Bottom