Jeshi la Urusi ni dhaifu sana, ni dhaifu mno

Hana tofauti na N.Korea ndio maana mda wote anategemea hiyo nukes kujihami [emoji38][emoji38]

View attachment 2200879

View attachment 2200880

View attachment 2200881
Baba sikia bila Nuclear bombs hata Marekani si chochote si lolote hata kwa nchi ndogo tu Kama Afghanistani.
Nuclear Ni silaha ya kujilinda pindi tu unapoona adui asiekuwa nayo anajaribu kukusogelea isivyo kawaida kivita.
Rejea ishu ya Japan katika 1945. Japan ilishakuwa ya kutisha Sana kipindi hicho. Wakaisogelea Us Hadi ki homeboy wakitaka kuichapa na wakajsaribu. Rejea shambulio la PearlHabour. Kwa tathmini Japan ilikuwa inaendelea kuwa na nguvu Sana conventionally hivyo basi US wakaona isiwe shida kupigana na mwenye nguvu mwenzangu nyumbani haipo dawa Ni moja ..littleboy nuclear. Japan ikapinduliwa wakakubali kushindwa vita
 
Natamani jf ingekuwa na emoji ya kucheka,
 
Ni kweli kabisa, mazungu Yana akili mno, kwanza yamepigana vita nyingi sana Yana experience. Kila kona ya Dunia yanaenda. Urudi ana ushamba wa kizamani.
 
Asilimia kubwa ya wamagharibi na watu wa aina kama ya wewe walidhani Russia watafanya kama kile wanachokifanya wamagharibi, mnafika na kuanza kulipua kila mahali pasipo kujali raia, hospitali na maeneo mengineyo wanalipua.

Wanajeshi wa NATO wanasema siku ya kwanza ya vita walirusha makombora zaidi ya masaa 48 Iraq mfululizo. Athari ya kilichoonekana na kilichopo tunakifahamu. Twende kwa marejeo, twende na ukweli twende na historia: Nidhamu ya namna hii Russia aliitumia Syria ambayo maeneo mengi yalikamatwa na ISIS lakini ndani ya miezi 6 alibadilisha mwelekeo kabisa. Lakini athari ya alichokifanya inafahamika na gharama yake pia.

Ikiwa unafuatilia historia za vita duniani au military operation (kwa sababu history inakuwa reference na inaku guide na history ni fact) utaona kile wanachokiita wenyewe Russia kuwa ni military operation kwa Ukraine ameenda kwa aina tofauti. Wote hatupingi kuwa Russia haikushindwa kurusha makombora kwa masaa 48 au 72 mfululizo kwenye miji yote ya Ukraine na mfano halisi kipindi cha utawala wa Bush nchi ya Georgia ambayo nayo ilitaka kujiunga NATO kama alichokifanya Ukraine, nchi hii ya Georgia ilitangaziwa vita. Matokeo yake ndani ya juma (week) ilipigwa na hii ni history.

Mitandao ya takwimu za kijeshi inaonyesha nguvu ya kijeshi ya Russia ni kubwa. Miaka 10 Russia imethibitisha hili. Miaka 10 iliyopita imethibitisha hili pia. Inatubidi tutafakari na ndiyo swali muhimu; kwa nini Russia imechagua njia hii ya kupigana na Ukraine? Hili ndilo swali linalobidi tujiulize ikiwa kama sisi ni watu wenye kutafakari.
 
Hata ktk mji wa Grozny kule Chechniya ndivyo jinsi Urusi ilivyofanya.
Katika vita ya kwanza huko Chechniya warusi walipewa kichapo cha mbwa koko wakawithdraw, wakarudi Russia na kujipanga upya, waliporudi baada ya miaka miwili hivi hawakuingia ktk mji huo kwa sababu askari wa Chechniya walikuwa wakiwasubiri kwa hamu. Urusi ikatumia tekniki ya kuharibu huo mji kabisa, Naona hiyo tekniki wanairudia tena!
 
Taja vita ya ardhini ambayo Marekani ameshinda tofauti na vita ya Iraq.
 
Acha utopolo
 
huna akili na hujui kuwa ww ni tailaaa , mwanume timamu haeza shabikia uvamizi

Kumtukana mwenzio kisa vibaraka wa marekani ni sawa??

Wakati nchi za kiarabu zinavamiwa ulijaribu kuonyesha huruma yako??? Au wale ni wanyama wakiuawa ni sawa!!!!
 
Taja vita ya ardhini ambayo Marekani ameshinda tofauti na vita ya Iraq.

Mkuu,,,hata vita ya iraq hao killers walitumia pia helkopta zao za Boeing AH-64 Apache, au nitakua nimekosea?
 
Sasa kama mnachificha kwenye majengo mkisubiri kifaru kikatize mkilipue mnategemea nae Mrusi atumie mbinu gani kama sio ya kushusha jengo zima
 
Point taken
 
Ebu niambie vita ya Afghanistan.ukitoa nuclear bomb ni silaha gani nyingine ambayo haikutumiwa na USA kwenye vita ya Afghanistan?
 
Nonsense
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Ni mambo yakuchekesha ila wabongo jamaan ni wajuaji... Hadi wewe unaweza mfundisha urusi cha kufanya yani unaweza Sema urusi dhaifu kweli mbongo mweke picha tu maudhui atajaza mwenyew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…