Jeshi la Urusi ni dhaifu sana, ni dhaifu mno

Pole sana ndugu ,inaonekana wazi kabisa wewe ni miongoni mwa wale wanafunzi wetu waliokua ukraine sasa baada ya kutibuliwa kozi yako ya ufugaji samaki ndio chuki zikakujaa sana na mother land Russia
 
Mkuu vita sio poa ulaya yote inapeleka silaha Ukraine unategemea vita iwe rahic hv
 
Donbas alikuwa na mapandikizi toka muda mrefu tu. Pale Kyiv ngoma ni nzito pale. Ninaamini Ukraine ikijipanga, Mariupol itakombolewa tena.
 
Russia ni watu wa propaganda nyingi tu ila hawana lolote kijeshi, ni sawa na Kiduku wa Korea kaskazini.
Hapana mkuu, russia ana jeshi zuri hasa ktk vifaa.

Hapa inaonekana jamaa ktk plans hawako vyema, na morale ya upambanaji sio kubwa kwa askari wake.
 
Putin hovyo kabisa from 72hrs to more than 60days nilijua hakuna mkali kama yeye sasa nimemdharau hata comedian anamshinda duu
 
Nilikuwa nawakubali sana Russia but kwa namna hii vita inavyoenda they need to regain my trust again sio kwa ubabe niliodhani wanao ni story za vijiweni zile

Sasa ingekuaje kama ndo angeingia vitani na wababe wenzie kama hao wadogo tu anayumbayumba
Hawana kitu
 
Ukraine hawashindwi kurusha chochote Urusi ila wadhamini wao hawataki iwe hivyo sababu itawafanya Warusi wamsapoti Putin kwa wingi , so ss hv wanamfanya Putin aonekane mkorofi
 
angalia distance mkuu , Urusi kwenye ground war yupo shallow , USA to Afghanstan and Urusi to Ukraine , Ebu jiulize kwann Mexico au Canada hawawez kuleta mdomo mwingi dhidi ya USA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…