KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
Hi code nimeijua mm!Tukutane basi twende diving, tukaexplore coral reefs
View attachment 3359536
Kama MimiNasoma comments
Enhe kina nani hao??Tangu nijoin JF nilishakuwa na interest na members wawili kiasi cha kutaka kuwaona
Lakini sadly that'll never happen
Enhe kina nani hao??
Wewe ulikutana nae?? Moto aliokupelekea mpaka unatamani na wengine waupate au sio kijana.jitahidi ukutane nae kimwili
Dogo uzichape na afisa usalama wa taifa, utauawa mdogo wangu.Nataka nionane na Vishu Mtata yaani kama kuzichapa tuzichape dadek zake ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Funguka mamaaaa mda ndio huu,.Wakaka fulani wawili
Mmoja siwezi kuthubutu kumtaja manake hatujawahi kuwa any close
Siku moja aliniquote kwenye uzi wa Manchester United nilikuwa kazini nimechokaaaa nilivyoona quote yake usingizi na uchovu vilipepea
Huyu mwingine wakati ule najoin hakuna bandiko lake nilikua napita bila kusoma ๐
Huyu nilizoena nae jukwaani wakati ule na ni Member pekee niliyewahi kuanzisha conversation nae huko PM
Kumtaja wa pili naweza lakini hata sitamtaja ๐๐
Funguka mamaaaa mda ndio huu,.
Tunaishi mara moja ujue๐๐๐
Na pengine mwamba nae kakuelewa sema ndio hivyo mnakaziana 2016 parefu mno kuficha hisia hadi leo๐ง๐ฅด
Hahahaha kweli kaka, naaam karibu sanaSafi. Tz yetu Monetary doctor ni Kaanani.
Basi kama upo mjini soon soon
Hapo sawa๐,.Haisaidii tena manake sipo kwenye situation ya kupendana na mwingine tena
Hapo sawa๐,.
Sema kuna miandiko humu ukiiiona unaweza kutaka kumjua huyu mtu anafananaje,.
Kuna kipindi nlikuwaga na fujo huko pm, nikaja kujiambia usiamini maneno ya kuandikwa watu wanajiandikia tu chochote na ni Uongo๐๐๐๐๐๐
Na venye nikikutanaga nawe nagubikwa na furaha ya ajabu๐Napenda๐คฃ๐คฃ
Mfate mjini pmTangu nijoin JF nilishakuwa na interest na members wawili kiasi cha kutaka kuwaona
Lakini sadly that'll never happen
Sio rahisi hivyo Half americanMfate mjini pm
Nlikua nikielewa mwandiko wa mtu nazama kumchimba vizuri ili nijue anachokiandika kweli kinasadifu yeye alivyo,. Walahi nikiwa na strss napitia convos naishia kucheka๐๐๐,. Vijana ni waongo sana aiseeMiandiko ya JF unaweza kudhani mtu ni wa dunia nyingine,vurugu ya PM ulikuwa unawaambia nini? ๐
Huyu wa kwanza ambaye sijawahi kuzoeana nae ningempata wallah nisingemuacha hata anipige matukio vipi japo simjui
Rahisi n kuendelea kuteseka?Sio rahisi hivyo Half american