Kilimo ambacho ndo UTI wa mgongo sio??? Ha haha hahaHahaa karibu tulime mkuu
Mimi pia nimeku admire kitambo sema you are such ladies man mara Joan, mara atoto etc
I'm such a ladies' manπMimi pia nimeku admire kitambo sema you are such ladies man mara Joan, mara atoto etc
Sio muda wa connection huuπ
Sipo kati ya hao wakaka kweli πWakaka fulani wawili
Mmoja siwezi kuthubutu kumtaja manake hatujawahi kuwa any close
Siku moja aliniquote kwenye uzi wa Manchester United nilikuwa kazini nimechokaaaa nilivyoona quote yake usingizi na uchovu vilipepea
Huyu mwingine wakati ule najoin hakuna bandiko lake nilikua napita bila kusoma π
Huyu nilizoena nae jukwaani wakati ule na ni Member pekee niliyewahi kuanzisha conversation nae huko PM
Kumtaja wa pili naweza lakini hata sitamtaja ππ
Bro wewe ningekutaka ningekwambia haraka sana wewe unaingilika πSipo kati ya hao wakaka kweli π
Makauzu kukuzidi? Kauzu kapata kiboko yake ππππBro wewe ningekutaka ningekwambia haraka sana wewe unaingilika π
Hao mabro wawili sio kama wewe π€£
ππππππGwajima....