JF member tupeane pole na kufarijiana kwa kuambiana siku yako ilikuwaje

Ulipika supu ya kuku wa kienyeji Ile nipitie mitaa iyo 😂😂😂huenda imebaki
 
haikua mbaya sema tu swaum ilinishika mida mibaya
 
Siku yangu ilikuwa poa sana ila huyu mwanamke akataka kuiharibu .Nimemuacha aongee peke yake.Nimefurahi sana kumuona binti yangu.
 
Siku yangu ilikuwa poa sana ila huyu mwanamke akataka kuiharibu .Nimemuacha aongee peke yake.Nimefurahi sana kumuona binti yangu.
🤣🤣🤣🤣
 

Attachments

  • 255762279655_status_af8de06651284d00b18f398587907587.jpg
    27.8 KB · Views: 3
Reactions: EEX
Hellow siku yangu leo imekuwa ya kazi sana leo sijatoka nilikuwa na mood ya usafi so nimeshinda nafanya usafi after hapo inabidi nikanywe kahawa ya maziwa sehemu mzuri nitulie ila si naweza kwenda morogoro now na nikaludi leo leo? Kwa muda uhu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…