JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Baada ya Mapinduzi ya Zanzibar John Okello alifukuzwa. Akaishi Tanganyika na Kenya lakini baadaye akafukuzwa, akarudi kwao Uganda. Idd Amin akampa nafasi ya Makamu wa Rais ila Okello akakataa akataka yeye awe Rais halafu Idd Amin awe Makamu. Siku moja akatekwa na hakuonekana tena.
1768316349516.jpg
 
WAHENGA huyo ni Mwanamuziki ALAIN KOUNKOU, Ni Mzaliwa wa Jiji la KINSHASA- Congo (DRC ) Mwaka 1969 alifariki Dunia Mwaka 2022. ALAIN KOUNKOU naya alitamba enzi ya uhai wake, alitoa Albums za kutosha, zikiwemo SOUKOUSS MASTERS (1992) 380 VOLTS (NEMETOUCHE 1995) SOUKOUSS COLLECT EXIGE (1998) TOP MILLENNIUM (2000) HOT SOUKOUSS (2011) NA NYINGINEZO, nyimbo zake maarufu ni Pamoja na Massampa, Dansez na nyinginezo.
1768352030077.jpg
1768352025721.jpg
 
Tumetoka mbali kweli,Leo katika historia, wananchi wa Zanzibar walifanya mapinduzi matukufu miaka 64 iliyopita,yaliyo iangusha serikali ya ufalme ya sir sultan Jamshid bin Abdullah bin khalifa al busaidy, mapinduzi hayo yaliongozwa na John okello aliyekuwa akitokea nchini Uganda na kukipatia chama Cha ASP, Afro shirazi mamlaka kikiongozwa na sheikh amani abeid karume,je unakumbuka kilichotokea, tujuze, kwani tumetoka mbali kweli!
1768354135580.jpg
1768354139064.jpg
 
Ntumba Ayila, famously known by his stage name Emoro, was a pioneering Congolese dwarf dancer who became an international icon of the soukous era. Joining the influential band Empire Bakuba around 1980, he was celebrated for his immense energy and a unique stage presence that created a legendary visual contrast with the band's towering frontman, Pepe Kalle. This dynamic helped the group popularize the kwassa kwassa dance style and turned their live performances into grand, theatrical spectacles, most notably during the signature Bakule chants in the hit song Moyibi. Beyond his musical career, Emoro gained further fame for his role in the 1987 film La Vie est belle, where he became synonymous with the joyful phrase "La vie est belle!" His life was tragically cut short in 1992 when he suffered a fatal heart attack while on tour in Botswana. To honor his memory and maintain the grand, circus-style theatrical legacy he helped establish, the band eventually recruited three Pygmy dancers to preserve his unique contribution to their live shows.
1768418339464.jpg
 
WAHENGA - KITAMBO SANA HIYO, HAO NI WACHEZAJI WA ZAMANI WA YANGA, NAOMBENI MAJINA YAO.
1768451323533.jpg
 
Hamissi Thobias GAGA-(Gagarino)
Simba na yanga mwaka 1990,mechi ya ligi,huyu mwamba wa kuitwa Hamissi Gaga

Wakti yupo unyamani Simba sc,.ilitokea penati Kwa ubazi wa yanga sc,mchezaji wa yanga alizani refa kapuliza firimbi,.kumbe ni mashabiki nje ya uwanja,mpigaji ni Hamissi Gaga

Wakti ameweka mpira katika duara la kupiggia penati,

Mwamba akarudi nyuma filimbi ilipo pulizwa,,Gaga bila ajizi alienda kupiga penati

Kipa wa yanga Steven Nemesi aliuzwa vizuri tu golini,.lkn kilichotkea mpira ukala nguzo ya chini katika goli, mpira uakrudi uwanjani,

Thoma kipese alikuwa peke yake hajakabwa na mtu,

Akauwahi mpira na kugeuka kwenda langoni Kwa Simba na kutia chuma....

Sitasaahau Ile Assist ya mpira kula nguzo ya ya goli,..R.I.P GAGA Thobias
1768527558471.jpg
 
Back
Top Bottom