Jibu la Halima Mdee kuhusiana na msimamo wa Lissu juu ya Wabunge 19 (COVID 19)

Ishu ya Halima Mdee na wenzake watu wanataka kuitwist tu lakini iko very clear. Hao siyo wanachama wa Chadema,na kama suala la msamaha ni kuwa mkosaji ndiye huwa anaomba msamaha baada ya kukiri na kuungama dhambi zake,siyo mkosewa amsamehe mkosaji hiyo ni kinyume kabisa. Je ni lini hao Wamama walikiri kosa na kuomba msamaha? Hapo walipo wameishitaki Chadema Mahakamani sasa unaanza vipi kumsamehe mtu ambaye amekupeleka Mahakamani? Hao waachwe wamalize ubunge wao wa magumashi wavute mamia ya mamilioni yao waende watakako.
 
Ninyi ni watu wa aina gani? Kwanza ulikuwa humtaki, sasa hivi unampangia nini aseme! Kama unafikiri hao COVID 19 wanakuelewa sana fungua kampuni uwashauri wakulipe kabisa.
 
Mkuu una kitambulisho cha NIDA?
 
Halima Mdee ameonyesha emoji mbili za kucheka 😃😃 kupitia mtandao wa X katika taarifa inayomuonyesha Lissu akiongelea kuhusu msimamo wake dhidi ya wabunge hao 19
View attachment 3213007
Halima Mdee zalauz zako hazitakufikisha popote. Tundu Lissu jenga chama acha tabia ya kufukua makaburi hapa duniani hakuna mkamilifu. Tugange yajayo
 
Anamdharau Mwenyekiti wake mpya, hapo lazima ameshajiharibia na watafukuzwa uanachama
Uko nchi gani Mkuu? Walishafukuzwa mda sana, wabunge wasio na chama, wamelindwa na mfumo tu.
 
Kwa mujibu taarifa zilizopo, Chadema iliisha wafuta uanachama hao; Lissu kaulizwa swali hilo, unadhani angejibuje? Hawa si walifukuzwa tokea enzi mwendazake hajaitwa mbele za haki? Mwenyekiti wa Chadema was FAM. Nadhani wandishi waache kuuliza maswali ambayo hata wao wenyewe wanayo majibu
 
Kwahiyo wake na mahawara wa Salum Mwalimu, Kigaila na Mbowe wasiguswe?? Unajua walivyokiumiza Chama?

Lissu atajenga Chama lakini sambamba na kuondoa uchafu wote.

Wewe utakuwa hawara wa mmoja wa COVID 19
 
Mjumbe wa kamati kuu, na Lisu ni Mjumbe na Mwenyekiti, chama siyo mali yake, yeye hana kauli ya mwisho.
Kwahiyo kauli ya mwisho unayo wewe? Kwamba unajilinganisha na Mwenyekiti Lissu??

COVID 19 hatukutaki!! Mtaondoka na Mbowe wenu. Wapuuzi wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…