Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

hiyo paypal ndo tatizo mimi nina mastercard ya NBC vp inafaa kwa online buying?
 

Ni kweli ndugu. Nilikwenda kuwauliza pale customer care ila wakanambia kuwa haiwezekani japo kulikuwa na ukweli kwamba hawajui hiyo inshu ya paypal na ebay. Leo nimewapigia customer care wakanambia haina haja ya kwenda kujaza fomu. Kadi iko tyr kwa hzo huduma. Nimeka detais ktk paypal na imekubali. Kilichobaki ni kufatilia zile 4 digits ambayo wametu paypal kwenda nbc. Sasa cjajua kuwa ntalipia hyo bank statement au la.
 

Bank statement nahisi huwa wanakata hela kwenye account yako
Mkuu emu niakikishie kuwa NBC hauitaji kujaza fomu ya kuomba kuwa linked online...This will be great maana mm hii siku ya tatu ya kazi lkn bado CRDB hawajanikubalia
Afu hiyo hela 1.9$ wanayokata PayPal kuna ambaye amewai kuiona kwenye Bank statement?
 
NBC hawana longolongo za kuomba linked online. mimi tayr nimeunganisha na kesho nakwenda bank kuchek hyo bank statement ili nipate zile 4 digits nikazijaze katika paypal. hapo nitakuwa tyr nimemaliza. CRDB wamenizungusha sana yani. nina zaidi ya wiki 3 sasa
 
samahani wakuu, hivi kuomba statement ya akaunti yako ya crdb kupitia email address yao inakubalika? kama inakubalika email yao wanayotumia ni ipi? je wanachaji fedha yoyote ukiomba statement kupitia email? mana nachohitaji ni kupata statement ili niweze kuverify account kwenye paypal.
 

Ninavyofaham inabidi uende bank ili ukachukue Universal Bank Statement. ... cna uhakika kama unaweza kuipata kupitia njia ya email
 
Ninavyofaham inabidi uende bank ili ukachukue Universal Bank Statement. ... cna uhakika kama unaweza kuipata kupitia njia ya email

Ni kweli. Inabidi uende bank
 
kama ume update account yao na ulijaza email yako basi utapata Bank statement kila mwisho wa mwezi....mm nili update na kujaza email yangu na kila mwisho wa mwezi wananitumia bank statement
 
BankABC wana kadi nzuri for online transactions. Na huhitaji kuwa na account. Naiona ni safe kwa sababu unaitumia pale unapohitaji tuu.
 
BankABC wana kadi nzuri for online transactions. Na huhitaji kuwa na account. Naiona ni safe kwa sababu unaitumia pale unapohitaji tuu.

Ili kuipata unatakiwa vgezo gani? Na gharama za kuipata hyo card ni zipi?
 
ni vyema kupeana taarifa, au sio comrade

Mkuu pale kwenye fomu ya Paypal ninaposign up, pale anakouliza Postal code tunajaza 00255? Au kila mkoa una postal code yake.

Anayeweza kuona swali langu hili mapema naomba anijibu. Shukrani
 
Mkuu hapo una Huakika?
Maana mwenyewe nina Cargo nimeagizia kiroho kina dunda watanikwapua Ngapi

Mkuu ninaposign up kwenye Paypal kuna mahali anauliza Postal code. Nimejaza 00255 kwa kuwa niko Tz ni sawa au kila mkoa wa Tz una Postal code yake?
 
Ninavyofaham inabidi uende bank ili ukachukue Universal Bank Statement. ... cna uhakika kama unaweza kuipata kupitia njia ya email

nijuavyo si lazima uende kila mara benki, cha muhimu ni kwenda kuwaambia wakupe fomu ya kujaza email na akaunti unayohitaji kupata statement, baada ya apo kila mwezi wanakutumia tena bure.mimi kila mwisho wa mwezi napata statement kwenye email. Ila ukienda kuomba za kuprint wanachaji gharama, ukitumiwa kwenye email ni bure...
 
tumia ya DSM 11000

Mkuu usichoke kutoa elimu, tunajifunza tuu. Nimegoogle na kujua Post code hadi ya Kata niliko, katika website ya TCRA. Sasa naomba kujua kwanini niandike ya Dar Es Salaam badala ya kata niliyoko kwa sasa?
 

uende tawi lolote watakupa fomu unajaza email na akaunti unayotumia baada ya hapo wanakutumia statement kila mwezi...mimi nilifanya ivo na kila mwezi wanatuma for free.
 

Aliyouliza ni lazima uende bank.... ndio utaweza kuona iyo transaction ya paypall
 

Kwaiyo cmu zenye kama gram 200 inaingia kwenye hii category?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…