Habari wana board!!
Nahitaji ufafanuzi wa haraka kwa aliyewahi kuagiza bidhaa toka Made in China (e commerce platform)
1. Wengi wao njia zao za malipo ni kupitia western union au T/T, je wana aminika kwa kiasi gani!?
2. Ntatambuaje kama ninayefanya naye biashara sio tapeli!?
3. Nili request latest price for certain product, cha ajabu napata email nyingi sana toka kwa wauzaji ambao siku request toka kwao!??
4. Mwisho kabisa, mbona bidhaa zao nyingi, hasa laptop zinakuwa na bei ndogo.
Kubwa zaidi, ni namna ya kutambua kama muuzaji ni tapeli au lah!!
Msaada please