Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Ndugu franco15

Kwa tanzania hatuna huu mfumo wa state/ Province & postcode

Ila kwakuwa ni lazima sehemu zzote zijazwa jaza kama hivi

Name: Franko Wajamii
Address line 1: P.O Box 123,
Address line 2: Amana, Ilala
State/Province: Dar Es Salaam
PostCode: 00255

AMBAPO KWENYE MZIGO WAKO ITASOMEKA

Name: Franko Wajamii
Address:
P.O.Box 123,
Amana, ILALA
Dar es Salaam 00255
Tanzania
Tel: +255 xxx xxx 456

Mzigo Ukifika utapigiwa simu iwapo utatumia DHL/ARAMEX/FEDEX , Kama utatumwa kwa njia nyingine basi utaukuta kwenye sanduku lako la Posta / Utakuta document ya kukutaka uchukue mzigo wako

Mkuu kutoka kwenye screenshot naomba unipe mfano wa kujaza hapo esp. Postcode, addressline 1&2
 
Ndugu franco15

Kwa tanzania hatuna huu mfumo wa state/ Province & postcode

Ila kwakuwa ni lazima sehemu zzote zijazwa jaza kama hivi

Name: Franko Wajamii
Address line 1: P.O Box 123,
Address line 2: Amana, Ilala
State/Province: Dar Es Salaam
PostCode: 00255

AMBAPO KWENYE MZIGO WAKO ITASOMEKA

Name: Franko Wajamii
Address:
P.O.Box 123,
Amana, ILALA
Dar es Salaam 00255
Tanzania
Tel: +255 xxx xxx 456

Mzigo Ukifika utapigiwa simu iwapo utatumia DHL/ARAMEX/FEDEX , Kama utatumwa kwa njia nyingine basi utaukuta kwenye sanduku lako la Posta / Utakuta document ya kukutaka uchukue mzigo wako

Asante sana mkuu kwa msaada wako
 
Du mkuu nimesurrender yani nimenunua spare part flani kwa 6.07 usd halafu shipping wananiambia 67.34 hahaha huu utani bora niwaachie hicho kitu
 
Shipping zinategemea volume na uzito wa mzigo. Sio tu bei ya kitu unachokinunua. Mara nyingi volume inapozidi kuongeza na shipping cost hupungua pia.
 
Ukishajaza hyo form inachukua 24 hours hadi kuwa activated, unaenda paypal unajoin na kuweka details za kadi yako. hapo unakuwa umekamilisha kila kitu. Ukiingia ebay unajoin na kujaza ur address na ukinunua kitu paypal ndo wanahusika kukukata hela na kuwalipa hao ulionunua kwao. Ila ukiingia amazon wao wanakata direct kwenye card. ila ni trustworth.

Onyo; Kumbuka kutojiunga kwenye mitandao ya kienyeji na kuweka details za kadi yako, wanajikatia hovyo. so far wa kuwatrust ni amazon tu kuwapa details za kadi yako wengine wote tumia paypal as a medium of payment.

Mkuu bulldog sio Paypal peke yao au Amazon...

Escrow na Alipay kule Aliexpress ni trustwoth...
 
Nimekuwa nikijaribu kujiunga na PayPal hapa Tanzania bila mafaikio. Msaada tafadhari

Mpaka card yako iwe online activated...Mpaka benki yako wawe wameisajili Card yako kuweza kununua vitu mtandaoni na wakuhakikishie hilo

pia baada ya uhakika huo unaingia www.paypal.com unafanya registration kwa gharama ya $1 tu na baada ya hapo unaanza kupiga biashara...

labda kama kuna kikwazo kingine lakini sikuwahi kukutana na obstacle yoyote na paypal
 
Wanaohitaji kununua bidhaa ni wengi lakini kikwazo ni procedures zinazohitaji kuwa na bank account, hakuna uwezekano wa kufanya malipo kwa kutumia huduma za mitandao ya simu kama vile tigo pesa, m-pesa nk?

Ndugu kijana nitumie email kwenye email yangu ya Antykmarche@yahoo.com nikusaidie
 
Ndugu kijana nitumie email kwenye email yangu ya Antykmarche@yahoo.com nikusaidie

Asee nimeingia ebay nimekuta photocopping machine inauzwa £20 nazani nikama sawa tsh 40 000. du nimeogopa. unaweza lipia ngoma isitumwe
 
Asee nimeingia ebay nimekuta photocopping machine inauzwa £20 nazani nikama sawa tsh 40 000. du nimeogopa. unaweza lipia ngoma isitumwe

angalia vizuri labda imekufa ni kwa ajili ya spea part au ni bidding
 
Asee nimeingia ebay nimekuta photocopping machine inauzwa £20 nazani nikama sawa tsh 40 000. du nimeogopa. unaweza lipia ngoma isitumwe

Nimetumia sana paypal, ni waaminifu, mara ya mwisho kuna simu niliagiza na haijanifikia hadi leo, baada ya siku za kupokea kupita nika wapa tatizo langu ebay, wakanirudishia mkwanja wangu wote bila makato hata ya buku
 
Account ya bank utakayotumia kujiunga na paypal ni lazima iwe ya USD au hata ya kibongo inafaa?
 
Mkuu umefanya kazi nzur sana, vp kuhusu malipo ya ushuru kwa hapa kwetu?, yan mzigo ukifika vp kuhusu TRA?
 
Nimetumia sana paypal, ni waaminifu, mara ya mwisho kuna simu niliagiza na haijanifikia hadi leo, baada ya siku za kupokea kupita nika wapa tatizo langu ebay, wakanirudishia mkwanja wangu wote bila makato hata ya buku

Inamaana sikuhizi paypal wakirudisha hela inaingia kwenye acount tena? sababu hapo juu mliwahi kusema kwamba wakirudisha hua account bado haipokei kwamba tz bank hazina uwezo wa kupokea. hebu weka wazi vizuri hapa mkuu
 
Zinaingia ila kwa kufuatilia na kukomaa sana ila Barkleys hawana tatizo kabisa
 
Wanajamvi, nimevutiwa sana na mada hii, lakini nadhani bado kdogo nahitaji kujua zaid. JZHOLO, Njunwa Wamavoko na wengne weng wenye weled wakina katika manunuzi kwa njia ya mtandao, tafadhar natamanim kujua maana nahitaji kununua na mm. e-mail yng josephchiwango@gmail.com, simu ya kiganjani 0712 698867. Tafadhali naomben msaada.
 
ndugu zangu watanzania tungekuwa muda mwingi tunashare mada kama hizi na kujadili na kupeana mawazo badala ya kufuatilia mambo ya DIAMOND na WEMA tungekuwa mbali sana nashukuru sana uzi huu umenipa mwanga na nimeagiza bidhaa nyingi sana na zote zimefika hamna hata moja isiyofika
 
Back
Top Bottom